Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Naibu Rais wa Kenya aliyeimpichiwa Mh Gachagua akiwa nchini Marekani ametoa madai mazito kwamba Rais Ruto anafadhili vikundi vya ugaidi huko Sudan na Somalia Baadhi ya viongozi wa Kenya wanasema...
0 Reactions
15 Replies
623 Views
Nchi nyingine wana sheria kali dhidi ya kuchangiwa pesa kutoka nje ya nch au na wasio raia. Hawataki nguvu au mawazo ya watu Urusi iamue nani anatawala Wafaransa, kwa mfano. Kwa saab ni lazima...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi, nampenda anayenikosoa zaidi. Wanaosifia wanamaslahi binafsi.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Vijana wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro wameeleza kuwa wapo radhi kutoa kadi zao za kupiga kura kwa mgombea wao ili wawe na uhalali wa kujipigia kura...
1 Reactions
1 Replies
264 Views
Wakuu Hivi mbona wananchi tunatishiwa sana na hawa viongozi? Yaani Bongo kila mtu mbabe ==================== Waziri wa Katiba na Sheria Damas Ndumbaro amewaonya wagombea wanaotoa "matusi" na...
0 Reactions
11 Replies
687 Views
Chama cha siasa cha Wakulima (AAFP) leo kimemteua rasmi kada wake, Kunje Ngombale-Mwiru kuwa mgombea wa urais atakayewakilisha chama hicho katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba, mwaka...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 tuliambiwa ccm ni tajiri haitapigia magoti wadau kuomba pesa za kufanikisha uchaguzi na ni kweli mpaka uchaguzi unaisha hatukuona kiongozi wa CCM akiita waandishi wa...
5 Reactions
39 Replies
2K Views
1995 akiwa anaongea na wanachama cha CCM kwenye uchaguzi wa chama wa kumpata mgombea wa Urais 1995 Mwalim aliwaambia wanachama kuwa CCM sio chama cha matajiri. Dkt Magufuli Mwenyekiti wa CCM...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Humphrey Polepole akizungumza kwa njia ya Mtandao usiku wa Agosti 13 amesema; "Mama Samia Mungu atamgusa, nchi hii ni kubwa zaidi kuliko yeye na kwamba dhamana ilimtaka yeye ndiyo awe Rais wa nchi...
21 Reactions
53 Replies
3K Views
Hii inaonesha Uhuru wa vyombo vya Habari na Ukomavu wa Demokrasia Ahsanteni sana Jumaa Mubarak 🙏
0 Reactions
7 Replies
530 Views
James Mbowe ambaye ni mwanachama wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), anasema pamoja na CHADEMA kukubalika kwa wananchi lakini hata watu 300 hawafiki mahakamani kusikiliza kesi ya mwenyekiti...
3 Reactions
99 Replies
4K Views
takwimu haziongopi kwani yale aliyoahidi kwenye Ilani ya Uchagizi kayafanya kikamilifu. Ni vema mkaja na ushahidi vinginevyo mkae kimya au mumpe sifa anazopaswa kuwa nazo Rais wetu DK Samia...
3 Reactions
38 Replies
905 Views
Tarehe: ___ Mwandishi: Mwananchi mzalendo kutoka Mkoa wa Geita UTANGULIZI Katika wiki ya pili ya mwezi Agosti 2024, taifa lilishuhudia Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dotto Biteko...
1 Reactions
17 Replies
918 Views
Ndugu zangu watanzania, Ni kweli watanzania wote kwa pamoja, tumeona sinema iliyokuwa ikiigizwa Jana na kweli mwandaaji wa sinema alipatia namna ya kuandaa sinema yake na kuwa andaa vyema...
5 Reactions
24 Replies
1K Views
Leo kwa mara ya kwanza nimesikiliza kesi ya Lissu kwa muda mrefu nimejifunza vitu hivi 1) Huyu wakili wa serekali anajua sana kuchambua sheria(yaani kama dereva anavojua kuchambua gia kwenye gari...
10 Reactions
65 Replies
4K Views
Comrade PolePole popote ulipo tunaomba upunge lau mkono ili sis wana CCM wenzako wenye uchungu kama wewe mioyo yetu ipate kutulia Yaani tokea Yule Samia kachukua Form pale idodomya upo kimya...
11 Reactions
64 Replies
3K Views
DAR ES SALAAM; NAIBU Mawaziri wanane na wabunge waliomaliza muda wao wapatao 47 wameshindwa kuchomoza katika kura za maoni za kuomba kugombea ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Matokeo ya...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
PASIPO Mh Rais kuja na majibu ya wapi alipo SOKA tafadhali USIJE kuomba kura tafadhali sanaaa
6 Reactions
11 Replies
923 Views
Hii ni Kesi you kama kesi nyingine ndiyo maana ipo mahakamani. Hakuna siasa wala sababu za kuwa na siasa hapo hivyo acheni kuishi kwa mazoea bali mjiandae kikamilifu. Sheria iachwe ichukue...
5 Reactions
57 Replies
2K Views
Mwalimu Kulaya wa KKKT Mbezi Luisi amewataka Watanzania kuwa na Hofu ya Mungu wa mbinguni Kwani ana mipango maalum na taifa letu Mwalimu amesema Yesu Kristo wakati anasakwa na Herode ili auwawe...
2 Reactions
6 Replies
464 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…