Mbunge wa Viti Maalumu, Tawhida (CCM) anachangia sasa, anasema Halima Mdee anacheza "mbwa kachoka". Wataalamu wa lugha tusaidieni. NI mwendelezo wa matusi bungeni kutoka chama tawala.
Tanzania is going to be the first country in East and Central Africa to unveil the maiden One-Stop-Border-Station which is expected to open shop at the Holili border crossing in Kilimanjaro...
Siasa za majitaka zimeanza kuchukua kasi CHADEMA baadhi ya viongozi wanaitwa masalia wakati ni viongozi wa juu wa chama this is bad either we fire or w retain naogopa kuna watu wanatumika...
Heshima mbele Wana JF!
Nimesikitika sana na taarifa kwamba timu ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyokwenda Uholanzi ikiongozwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete amelakiwa wa Waziri wa...
Katika taarifa ya habari ya saa 2 usiku leo Radio One Stereo, kiongozi mkuu wa dhehebu la dini ambaye anatarajia kustahafu amesema yanayoendelea Bungeni kwa sasa ni tatizo la malezi. Tundu Lisu...
Nani anaweza kubisha kauli hii kwa hoja? Namtaka aje maana kila nyanja ya nchii imevurugwa na CCM kwan bila CCM miaka 51 ya UHURU ukiongeza na resources tulizojaaliwa hakka hatukupaswa kuish kwa...
Govt not ready with Swiss billions probe results
By Rodgers Luhwago
20th April 2013
The government has hesitated to reveal a report on the outcome of the investigations on...
Mheshimiwa Ally Kessi ambaye ni mbunge wa ccm amesema Azimio la Zanzibar ndio limeharibu kila kitu, aliyasema akiwa ana changia kwenye semina ya maadili ya viongozi iliyo fanyika mjini dodoma...
Habari zinazopatikana katika viunga vya Bunge ni kuwa kulikuwa na mkakati wa muda mrefu kuhakikisha kuwa Tundu Lissu hangeweza kushiriki majadiliano ya Bajeti ya Ofisi ya makamu wa Raisi-Muungano...
Wakati M4C KANDA YA KATI maandalizi yake yakiwa YAMEKAMILIKA.
Taarifa nilizosikia muda si mrefu ni kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma kwa kushirikiana na Jeshi la polisi wamesema ole wao CHADEMA...
Naamini watanzania walio wengi hatujitokezagi kupiga kura wakati wa uchaguzi na hivyo kuendelea kulalamika pasipo sababu.
Mabadiliko hayatakuja kama tutakuwa waangalizi tu wakati wa uchaguzi bila...
Gari ya matangazo inapita sasa hivi jijini
likitangaza kuwepo mkutano wa chadema kesho jumapili katika viwanja vya shule ya msingi Mbugani. Hii ni katikati ya jiji la Mwanza. Wabunge wa CHADEMA...
Nimegundua watanzania wengi hasa waishio vijijini kushindwa kuoanisha uduni wa maisha yao na serikali iliyopo ni kikwazo kwa vyama vya upinzani kushika dola.
Unakuta mzee anashadadia CCM yet ana...
Ningekuwa Speaker ningeanzisha "Naughty Corner" na ili kuwapa wananchi fursa ya kutofautisha kati ya "Bunge Naught Corner" ningeshauri ijengwe mbali kutoka "Mirembe".
Kanuni za huko ni kama...
Yaani si pati picha kabisa Wabunge wa CCm wanavyofanya pale Bungeni halafu bado kuna wananchi wanaifagilia CCm na Serikali yake hivi tatizo ni kutokusoma habari au kuona live kutoka Bungeni jinsi...
Kinana amewapokea wenyeviti sita wa CHADEMA wa kata za wilayani Gairo na wafuasi wao zaidi ya 286 katika mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Gairo jana.
Mmoja wa wafuasi wa CHADEMA aliyekuwepo...
The message reads as follows:
H.E. Barack Obama,
President of the United States of America,
Washington D.C.,
U.S.A.
Your Excellency,
I am deeply saddened by the shocking news...
BAGAMOYO UNIVERSITY IS OFFERING MASTERS DEGREE IN PEACE AND CONFLICT RESOLUTION.
INTAKE: MAY INTAKE- admission is on already
DURATION: ONE YEAR
QUALIFICATION: First degree in any field
This...