Kukosa Staha Bungeni ni zao la malezi mabovu-Mkuu wa Dini

kazikubwa

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
597
145
Katika taarifa ya habari ya saa 2 usiku leo Radio One Stereo, kiongozi mkuu wa dhehebu la dini ambaye anatarajia kustahafu amesema yanayoendelea Bungeni kwa sasa ni tatizo la malezi. Tundu Lisu umesikia?
 
Back
Top Bottom