Chadema wanahamasisha mkutano Mwanza

Chadema wanahamasisha mkutano Mwanza

MwanaCBE

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2009
Posts
1,771
Reaction score
804
Gari ya matangazo inapita sasa hivi jijini
likitangaza kuwepo mkutano wa chadema kesho jumapili katika viwanja vya shule ya msingi Mbugani. Hii ni katikati ya jiji la Mwanza. Wabunge wa CHADEMA na MIMI tutakuwapo, usikose.
 
Back
Top Bottom