cheeter
JF-Expert Member
- Apr 19, 2011
- 475
- 155

Tanzania Tanzania Tanzania,mbona nuru yako yazidi fifia? Mbona umekosa mwelekeo? Hivi baada ya miaka 15 ijayo Tanzania utakuaje wewe? Huna dira hata hujui waenda wapi,umepotea weweee,Rudi ukapige magoti kwa Mungu wako na akusamehe makosa yakoo,maana laana uliyonayo si ndogo ni kubwa kweli yahitaji toba ya kwelikweli toka kwa Mungu wakooo
:frusty:Katiba mpya iweke kifungu kua atakae ipigia kura CCM 2015 ANYONGWE HADI KUFA.