CHADEMA sasa itachukua nchi

CHADEMA sasa itachukua nchi

Radar

New Member
Joined
May 4, 2013
Posts
2
Reaction score
14
Habari wanajamii,
Katika muda wa miaka 3 (2010-2013) nimekuwa nikifuatilia siasa za CHADEMA VS CCM kwa karibu. Ktk uchaguzi wa 2010, CHADEMA ilionekana kuungwa mkono zaidi mijini huku CCM ikiungwa mkono zaidi vijijini.

Baada ya uchaguzi wa 2010, nafikiri chadema wamegundua kuwa kuna haja ya kujikita zaidi vijijini hasa baada ya kuanzisha kanda za kiutawala ambazo hutoa nafasi zaidi kwa wananchi kuwajibika kukitangaza chama kwa rika zote.

Nimepata kutembelea vijiji kadhaa ambavyo vimekuwa chini ya CCM kwa muda mrefu, watu wanaonekana kuchoka na CCM. Kila unayemkuta anakwambia CCM hawataona tena kura zao kuanzia mjumbe wa x10. Wanaona kupigia kura au kugombea kupitia CCM ni kujidhalilisha. Hawana habari kabisa na ugaidi wa CHADEMA, wanakwambia tunawapa kura hivyohivyo walivyo! Acha nao waongoze!

Wengi wanashauri wafikiwe na viongozi wa chama kitaifa hasa Dr Silaa, Mbowe, Zitto, Lisu, Lema, Msigwa, n.k ili kubadilishana mawazo kabla ya kuchukua madaraka 2015 na wanamwamini sana Dr Silaa kama rais wa ajaye. Najua wapo watakaokuwa very aggressive kwangu lkn hii ndio hali halisi kwa sasa.
 
Waambie magamba na 'waajiriwa wa mwiha mtandaoni toka Lumumba kuwa 'that's the real situation' huku kijijini nilipo Wanaijua hata chadema kuliko mimi nliyetoka Mjini.
 
Ccm unachojua ni kwenda Zenji kulana uroda... Kale ka binti ka shonzi katakuwa kameliwa sana, hadi sasa hivi kamekuwa scrap material...
 
Hakuna haja ya kutabiri kuwa kutoka Alfajiri inaingia Asubuhi kwan Lazima Pakuche tupende tusipende ukweli utajulikana!
 
Mkuu, ni kweli kabisa, hiyo ndo hali halisi kwani hata mimi nilikuwa kijijini kwetu week iliyopita, yaani nilicho kikuta huwezi amini, ukionekana umevaa T-shirt ya CCM utazomewa kila kona unakopita. Salamu ya vijana hapo kijijini kwetu ni "Peoples" ...... "Power".

CHADEMA ndo tumaini la Watanzania.
 
Ya it is true, Mimi nilikuwa wilaya fulani hivi, watu wanawakubali sana Wabunge wa CDM hasa Tundu Lisu, wanamkubali sana na Spika au mwenyekiti akisoma majina na watu wakasikia anaye fuatia kwenye mchango ni Tundu Lisu, basi hakuna anaye kubali kutumwa Nje,
 
ni kitu cha hatari sana kuona mtu anashabikia kutaka chadema itawale,chadema wao wenyewe wameshindwa kujiongoza kila kukicha wanawindana kuuwana imefika hatua wanataka kumuuwa hata mama yake zito.
 
ni kweli,, vijiji kama kitowo, mtitu,mawambala,ukumbi,mgagao,lukani, b ng'ombe,poms, na vingne ving kule KILOLO wamechoka habari ZA MAGAMBA
 
Siasa za chadema ni kubwa sana mtandaoni tena hapa jf. Huko kwenye field wanaokishabikia ni wahuni wahuni tu
 
ni kitu cha hatari sana kuona mtu anashabikia kutaka chadema itawale,chadema wao wenyewe wameshindwa kujiongoza kila kukicha wanawindana kuuwana imefika hatua wanataka kumuuwa hata mama yake zito.

ccm je? makundi kibao
 
hilo mbona halina ubishi, hapa ni kuhesabu miaka tu...
2015 Tanzania inapata "UHURU"
 
Kwa hiyo huko kijijini kwenu wanaafikiana na magaidi kumbe...ni bukoba mjini au wapi hapo mana waasisi wa ugaidi chadema ni bukoba people
 
Back
Top Bottom