Matokeo yaliyofutwa sasa kuzuiliwa Mahakamani

2015

Senior Member
Aug 13, 2011
123
40
Habari ambazo ni tetesi zinasema kwamba umoja wa mashirika yasiyo ya kiserikali yakishirikiana baadhi ya wanasheria nguli hapa nchini wapo katika hatua za mwisho kuandaa kuweka court order itakayozuia utekelezeji wa kauli ya serikali ya kufuta matokeo mpaka hapo kesi ya msingi itakapoamuliwa na mahakama.

Mashirika hayo yanadai serikali kupitia waziri Lukuvi haina mamlaka ya kufuta matokeo hayo na pia matokeo mabovu hayatokani na sababu alizozitoa waziri.

My take:
Kwa kipindi hicho ambacho mahakama itazuia utekelezaji wa kauli ya serikali nini itakuwa hatma ya watoto hawa? muda wa kwenda form 5 umefika na wengine wanaendelea kure-seat na wengi wanajipanga kwenda veta.
 
Ni kweli.
Tunataka watu walifaulu au waliongezewa maksi.Hapa serikali inajua vizuri sbabu.Hayo wameyafanya ili kujiepusha na aibu.
 
Nice move kuliko kuacha serikali hii ya CCM kuendelea kutuzalishia vilaza kwa maslahi yao .
 
Habari ambazo ni tetesi zinasema kwamba umoja wa mashirika yasiyo ya kiserikali yakishirikiana baadhi ya wanasheria nguli hapa nchini wapo katika hatua za mwisho kuandaa kuweka court order itakayozuia utekelezeji wa kauli ya serikali ya kufuta matokeo mpaka hapo kesi ya msingi itakapoamuliwa na mahakama.
Mashirika hayo yanadai serikali kupitia waziri Lukuvi haina mamlaka ya kufuta matokeo hayo na pia matokeo mabovu hayatokani na sababu alizozitoa waziri.

My take:
Kwa kipindi hicho ambacho mahakama itazuia utekelezaji wa kauli ya serikali nini itakuwa hatma ya watoto hawa? muda wa kwenda form 5 umefika na wengine wanaendelea kure-seat na wengi wanajipanga kwenda veta,

Hiyo kesi ya Msingi ni ipi? Alichosoma Lukuvi ni taarifa ya awali. Hata hivyo kama ni ya awali ni kwa nini maamuzi makubwa namna hiyo yachukuliwe? Hiyo kesi ya Msingi ni nani kaifungua? Na ni against who?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Hii move nayo!!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Nakubaliana nawe Mkuu. Hii Serikali dhalimu haijali kabisa katika kuchukua maamuzi ambayo yana athari kubwa sana kwa nchi ali mradi tu ipate kujipigia debe ambalo hawastahili kujipigia.

Nice move kuliko kuacha serikali hii ya ccm kuendelea kutuzalishia vilaza kwa maslahi yao .
 
Najua kuwa mara baada ya matokeo,result slips zilitoka jee itakua ni kazi ya nani kujua hii ndiyo result mpya na ile ya zamani?hapa serikali inataka itamke ufaulu wa wanafunzi uliongezeka kwa asilimia?Swali la msingi kwa waziri mwaka huo 2012 hakuna wanafunzi waliopata point 7 ina maana A'7?obvious wapo tena wa shule zile zile za st francis,feza,marian zinazoongoza miaka yote.Hii ni wazi kuwa tatizo sio usahihishaji wala marking bali watoto wamefeli kutokana na sababu zilizowahi elezwa na kamati ya mwanzo.
 
Kwa mara ya kwanza hata mimi nitaandamana kwenda mahakamani kushinikiza mahakama uzuie agizo la serikali. Hatuwezi kufanywa wapuuzi eti matokeo yafutwe kwa kigezo kuwa baraza lilikosea huku sababu za watoto kufeli zikiwa wazi kabisa ila serikali inazikwepa. Huu utaratibu wa kuweka siasa kwenye kila kitu haukubaliki kabisa.
 
hao wanafunzi wabaki na walichopata wasisubiri vya dezo zaidi hata wote wapewe div 1 watz hatuwezi sahau historia yao na zaidi watakaofuata hata wakifaulu tutashuku ufaulu wao, wasilazimishe kufaulu wakaenda shule za kata form 6 yakarudi yaleyale bora waende veta tujue vipaji vyao
 
Nitaunga mkono wanaharakati hawa,

Serikali yakulindana inalinaliangamiza taifa hili!

Why serikali isikiri udhaifu na kuwajibika kwa hili???
 
Hawa watakao peleka kesi mahakamani wanataka nini au ndiyo vibaraka wa wanasiasa, zambi zao watazikuta kwa mungu serikali siyo chizi na hayo ni mapendekezo ya tume ambayo inawatu wenye akili zao siyo wehu kama hao wanaharakati.
 
Ndugu uchizi hauchagui elimu yako au umri unaweza ukasoma na bado ukakumbwa na uchizi
 
Back
Top Bottom