Werema na Timu yake wajitasmini na ikibidi wawajibike?

Werema na Timu yake wajitasmini na ikibidi wawajibike?

HGYTXK

Senior Member
Joined
Oct 3, 2011
Posts
194
Reaction score
71
Tumekuwa tukishuhudia Serikali ikishindwa ktk kesi nyingi ambazo zimefunguliwa na kusimamiwa na wanasheria wa serikali.Na mara kadhaa tumeona ata mashtaka yanayofunguliwa kutokuwa alisia na kupelekea kuonekana vituko mahakamani.Nimekuwa nikijiuliza kuwa hii ina maana gani kwa wanasheria wetu wa serikali,ni uwezo mdogo wa wanasheria wetu?, au kufungua kesi kutokana na shinikizo la kundi fulani la watu?.Kwa nn nisiamini kuwa uwezo wao ni mdogo ktk kusimamia sheria ikiwa 80% ya kesi wanazofungua huwa wanapigwa mweleka?.Nachelea kuambiwa nigombee uraisi ili niwafute kazi hawa wanasheria ila kwa mwendo huu ni dhahili mwanasheria mkuu na jopo lake wameshindw kazi na kukubali kuwa vibaraka wa kikundi fulani ktk jamii.

Kama uwezo wa mwanasheria unapimwa kulingana na ushindi wa kesi anazosimamia basi serikali yetu haina wanasheria kabisa.
 
Kama mwanasheria mkuu kihiyo unategemea hao wanasheria wa serikali waweje.
 
Back
Top Bottom