Jaji Joseph Sinde Warioba ambaye ni Mwenyekiti wa Tume ya Katiba Mpya yaelekea ana agenda ya siri ya kutaka kuchakachua Maoni ya Watanzania katika mchakato wa kuandika Katiba mpya.
Kwa hali...
Tunahofia nini kurudia uchaguzi wa mabaraza?
TANZANIA ipo kwenye mchakato wa kupata Katiba mpya inayotarajiwa kuwa suluhu ya upungufu wa Katiba ya sasa iliyotuongoza kwa miaka 51 baada ya...
SHEKHE wa Msikiti wa Nunge Dodoma, Shabani Kitilla, amewang'akia watawala na Viongozi wanaopotosha ukweli, akipinga kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) si Chama cha Kikristo, Kikabila...
Katika hali ya kustaajabisha, taarifa za Bumbuli jioni hii zinathibitisha kuwa Mbunge wa Bumbuli January Makamba amekimbia Bungeni na kwenda Jimboni kwake kumshurutisha Mwenyekiti wa CHADEMA...
Kuvunjwa kwa baraza hilo la madiwani kumependekezwa na wananchi wa manispaa kupitia vi-redio vya Bukoba, baada ya kuona kila kitu kinaenda mchafu koge, na kupelekea ongezeko ugumu wa maisha...
Kitendo cha Naibu Spika, Job Ndugai kushahabikia katuni ya kukashifu Bunge iliyochapishwa na gazeti la Kenya kinaonyesha jinsi asivyo mzalendo kwa nchi ya Bunge analoliongoza.
Mbunge wa kuteuliwa Mh.James Mbatia,ameitaka serikali kuchukua hatua kuhakikishi milio ya kupokelea simu yenye maudhui ya kidini pale unapompigia mtu simu isitishwe nara moja.Mh.Mbatia ameyasema...
Imekuwa ni kawaida kwa TFDA na TBS wakaguapo bidhaa kama madawa/vyakula nk kutoka ughaibuni na pindi wakigundua kwamba bidhaa hizo hazina ubora kwa haraka kuziteketeza kwa moto bidhaa hizo tena...
Umewahi kusikia nukuu hii ya Mbunge wa Jimbo la Mtera-Dodoma, Muheshimiwa Livingstone Lusinde? Alisema hivi.....
"CCM ni Mama yangu, CCM ni zaidi ya Familia yangu au hata mke wangu. Mimi sio...
Nndugu zanguni,
Jana na leo nimepokea private messages kutoka kwa watu wa chadema na wengi ni viongozi wa kitaifa.
Najua hii ni baada ya kuanika madudu ya Lema hapa jukwaani.
Napenda kuwajulisha...
Wanabodi, ni nani kati yetu,hana jirani,ndugu,rafiki,mfanyakazi ambae ni mkristo au mwislam? Binafsi wajomba zangu ni waislam, nimezungukwa na waislam tena maofisa jeshi ((JWTZ), naamini hata wewe...
Chama Cha Mapinduzi(CCM) kimemteua Mgombea Udiwani katika Kata ya Iyela kupitia Tiketi ya hicho.
Pia ndiye Katibu Uchumi na Fedha wa Kata hiyo.
#Anaitwa Ndg. RICHARD SHANGHVI
Salamu kwenu.
Kwanza niwapongeze wana Nkasi kwa kumpongeza Mbunge wao kwa kutokuiunga mkono bajeti ya miundombinu. Hongera hizo za wana Nkasi kaskasini ni salamu kwa Wabunge wa CCM kuachana na...
cc tunaokuwa na majukumu mengi kwa wakati wa mchana huwa chanzo chetu za uhakika ni JF naomba mtuwekee taarifa tajwa hapo juu tafadhalini sana wana JF. najua kuna web za wizara lakini maweb haya...
TUHUMA za matumizi mabaya ya ofisi zimezidi kumuandama Rais mstaafu wa Awamu ya Pili, Benjamin Mkapa, ambapo safari hii Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, ameponda sera ya ubinafsishaji...
Wadau hizi beiza petrol nimezikuta pale oman
1.super 0.122 baisa= Tshs 485
2.Regular 0.116 baisa= Tshs 465
3.Diesel. 0.146 baisa= Tshs 585
Hivi na sisi tukianza kuchimba mafuta je bei hizi...
Ni bahati mbaya sana , katika bunge letu la JMT chama cha wananchi CUF na wabunge wake wameshindwa kujua kama wao ni chama tawala au ni chama cha upinzani, wamekuwa wakishabikia sana hoja za...
Profesa Kapuya, Kessy watibuana bungeni hadharani
Na Florence Majani,Tausi Mbowe
KWA UFUPI
Hakuna barabara kwangu, kwa nini niunge mkono hoja? Namshangaa sana Kapuya kwa tabia...
Nianze kwa kusema Ikulu si yenu, ni ya watanzanania. Unaweza kunijibu kwa upesi kuwa haujawahi kusema ni yenu, nami nitakwambia mnatenda kama yenu. Kwa matend o yenu ambayo mnatoa na sisi...