Eng. Y. Bihagaze
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 1,487
- 914
Nimeona mkiwa Kwenye kikao Cha nchi mjengoni mnaongelea sana Majukwaa haya ya Kijamii hasa JF, kwa ubaya au uzuri frankly jukwaa hili nguli, kumbe mnapitia sana humu. Kuongelea majukwaa haya ni kuvigusa VICHWA... Asikwambie Mtu TZ Ina watu wanaongea Kwa mapana sana kiasi huwezi amini.
Niwape RAI yangu kwamba Kwa wale waliojiunga masked with fake id's embu acheni woga wenu, jinafsishineni Kama Verified User. Ukiwa mwana masumbwi USIOGOPE nundu ni vitu vya kawaida. Mjikoboe tu waziwazi, kweli watu watawaccoment mbovu lakini ushauri mzuri upokee Na mbaya upokee uutumie kujipanga Na kujiirekebisha , unaweza kuwa Kiongozi bora .. Mbona Zitto tunae humu ngalawani , mawimbi yanamnyuka anasonga Mbele tu Na wengine wengi. Hata Obama mwenyewe Kwenye CT ni Verified user Na anatupia sred Na kuchangia Hoja.
Kuwa mbali Na raia ni uungumtu! , ukiona Mtu amekuccomen vibaya unamriport JF Na wanamnyuka bakora Za ban!!.
Kuna watu waoga sana Wa kuambiwa mabaya, hawawezi kuwa VIONGOZI wazuri, ukitengeneza TABIA ya kuongea Na wasomi utapata maelfu ya faida kuliko hasara..