TandaleOne
JF-Expert Member
- Sep 4, 2010
- 1,644
- 709
Mwenyekiti wa Taifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM kilichofanyika leo May 21, 2013, kwenye ukumbi wa Jengo la White House, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.
Pamoja na mambo mengine Kikao Hicho kimejadili juu ya mustakabali wa Chama pamoja na baadhi ya masuala muhimu juu ya maadili ndani ya chama.
Pamoja na mambo mengine Kikao Hicho kimejadili juu ya mustakabali wa Chama pamoja na baadhi ya masuala muhimu juu ya maadili ndani ya chama.