Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Bunge laahirishwa tena, mjadala wa Nishati na madini hautajadiliwa kesho ni A/mashariki. Makinda anadai akiwaruhusu wabunge waendelee kuchangia watazidi kuchochea moto. Kodi zetu jamani.
1 Reactions
112 Replies
9K Views
Ukweli hakuna wakati nilikuwa nakipenda CHADEMA sana lakini sasa hadi watoto ndugu zangu majirani walikuwa wananiona chizi sana ..sahizi ndo nimekuja gundua kumbe kweli walichokuwa wanasema hiki...
3 Reactions
32 Replies
3K Views
Hakika hali ilivyo Mtwara leo si ya kuridhisha na ukweli inawezekana wananchi wa sehemu husika hawajapewa elimu ya kutosha juu ya kile kinachofanywa na serikali kuhusu gesi. Lakini bahati mbaya...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Tunachoshuhudia Mtwara ni tatizo la serikali au watendaji wa serikali kutokuelewa ile 'supremacy of the people'. Kuna hisia au mawazo kuwa serikali iko juu ya wananchi; hivyo inaweza kufanya...
12 Reactions
18 Replies
2K Views
  • Closed
Iwapendeze waungwana; Habari zilizopo katika viunga mbali mbali Nchini ni kwamba Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM hivi majuzi aliombwa na Familia ya Rais kuachana na fikra za kujiuzulu...
7 Reactions
22 Replies
3K Views
Serikali kwa kupitia kwa Muhongo na wasomi wajuaji waliojazana kule kwenye nchi yao ya Mgogoni/Kivukoni waliamua kuandika sera ya gesi lakini la kushangaza ile sera iliandikwa kwa Kiingereza...
4 Reactions
27 Replies
6K Views
Ameyasema Mnyika bungeni. Ni hadi mambo kadhaa kama yalivyoainishwa kwenye ripoti yafanyiwe kazi...
1 Reactions
73 Replies
6K Views
URAIS 2015 Mwandishi Wetu Dodoma Toleo la 295 22 May 2013 Rais Kikwete naye apigwa dongo kikaoni MBIO za urais kwa upande wa Mbunge wa Monduli, Edward...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Mbunge wa Jimbo la Ubungo-CHADEMA,mh John Mnyika -- MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika amemtaka Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo kuwaagiza maofisa wake kuitafsiri sera ya gesi...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Uongo ni mbio za sakafuni ambazo huishia ukingoni. Aidha ‘uongo hauongoi’ yaani haumtoi mtu katika upotofu au hauelekezi tabia nzuri. Ni methali mbili zinazoshauri kutokuwa na tabia ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hili la Mtwara halitochukua muda mrefu kusahaulika masikion mwa watanzania.wa wakat huu kuna mikakati mingi inapangwa kuwaondoa Watanzania katika jambo la Mtwara na kuwaletea jambo lingne la...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Mimi kama mdau wa elimu na msomeshaji nimeumizwa sana na matokeo ya kidato cha nne. Kwa kweli ni pigo ambalo tunahitaji kujisahihisha haraka. Kuna sehemu kuu nne katika tatizo hili za msingi...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Nashindwa kuelewa kwanini serikali haitaki kuona ukweli wa wana mtwara na kila sasa kuubadili ukweli huo kuwa uwongo. Serikali inatuambia wana mtwara wanasema gesi ni yakwao hivyo haitoki mtwara...
1 Reactions
0 Replies
827 Views
Mara baada ya Gesi kugunduliwa ktk Kina kirefu cha Bahari mwishoni mwa ka jana kumekua na sintofahamu ktk Mikoa ya LINDI na MTWARA! Hii inafuatia Kuwepo kwa vita ya mara kwamara kati ya Wananchi...
0 Reactions
3 Replies
946 Views
Tanzania imeishageuka na kuwa nchi ya kusadikika na walioigeza hivyo ni watawala wa taifa hili la Tanzania.Jaribu kutazama vizuri utabaini madudu mengi yanayofanywa na watawala wa taifa hili...
0 Reactions
1 Replies
943 Views
Habari wakuu kuna habari zimezagaa hapa dodoma kuhusiana na sakata la gesi na chama cuf, baadhi ya watu wa karibu na msajili wa vyama vya siasa wanadai '' barua ya mapendekezo ya...
3 Reactions
28 Replies
3K Views
YA MRWARA NA UTAJIRI WA MALIASILI ZETU Baada ya Mtwara sijui ni wapi patafuata. Yaweza kuwa Arusha (Tanzanite), Shinyanga (Almasi na Dhahabu), Mwanza (Samaki), Mara (Dhahabu) na kwingineko kwingi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Picha kwa hisani ya Gazeti la Citizen
2 Reactions
190 Replies
20K Views
Kafara ni uhai unaotolewa wa kiumbe flan asiye na hatia kwa ajil ya maslah ya watu flan. wanamtwara mpaka sasa wameshamwaga damu zao kwa ajil ya kusimika ujengwaj wa bomba hili. na bado bomba hili...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Baada ya kuona matumizi ya scanner na tiketi zenye bar-code yanaongezea mapato Serikali na kuzuia mianya ya wizi mkubwa waliokuwa wanafanya awali, wahusika wa TAMESA katika kivuko hicho wamebuni...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…