WEDNESDAY, MAY 29, 2013
Na Abdulaziz Video,Lindi
Jeshi la Polisi Mkoani Lindi linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kusambaza taarifa za kupotosha wananchi zenye viashiria vya uchochezi na...
Dar es Salaam. Spika wa Bunge, Anne Makinda jana aliizima hoja ya Mbunge wa Kawe (Chadema), Halima Mdee kuhusu umiliki wa mashamba makubwa yasiyoendelezwa wakati wa kujadili hotuba ya Bajeti ya...
Kuna mzee mmoja alichangia kwenye topic iliyopita kuwa kumbe hata Tanu kilikuwa chama cha vijana na matunda ya TANU kila mtu anayajua sasa mdau huyu ameshangaa sana baada ya kuona wale vijana wa...
Mtwara. Kamati iliyoundwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi kuchunguza madai ya Polisi kufanya vurugu wakati wa kutuliza ghasia zilizozuka Mjini Mtwara wiki iliyopita, leo...
Tarehe 21 /5/2013 Kamishina Msaidizi wa Polisi (ACP) L iberatus Sabas ambaye ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha aliongea na waandishi wa habari juu ya shutuma zangu juu ya ujumbe wa maneno...
Mikakati mikali ya kutokomeza element zote za Chadema aka Magwanda zimeanza kila kitongoji kwa wananchi wenye Mapenzi na Uzalendo na nchi hii kuhakikisha chadema na hasa Dr Kitila...
Akichangia ktk hotuba ya wizara ya ardhi, mh John Shibuda, mbunge wa maswa kupitia CHADEMA amekisifia CCM kuwa ni chama cha maskini na wanyonge na ambacho kimelinda maslahi ya watanzania tangu...
Wadau nyeti mbili usiku wa leo ambazo pro CHADEMA mnapaswa kujiandaa kuzikabili kama CCM wataendelea na mpango wao kama ulivyopangwa ufanyike kuanzia kesho.
Kwanza kesho Team Lowassa, CCM na...
Ndugu wana JF...
Katika kanda zote, kanda ya Ziwa ilijaliwa utajiri wa ajabu sana, na pia wakazi wa kanda ya ziwa hususan wasukuma ni wapole mno, hii imekuwa ni fursa kubwa kwa CCM kuwatumia...
WanaJF Habar,
Kwa kweli hata CHADEMA Isipochukua nchi 2015 nitaumia sana ila naamini watakuwa hawajapoteza kwasababu;
1.Watanzania wamejitambua,
2.Viongoz wamejitambua
3.Watanzania wanaelewa...
Samweli Sitta amekuwa mbunge wa Urambo kwa miaka 35. Ameshika nyadhifa zote kubwa kubwa kuanzia Waziri mpaka Spika wa Bunge kwa vipindi vingi. Lakini tembelea Jimbo lake ukutane na maajabu ya...
Amesema serikali ya CCM inatoa bure chanjo za kichaa cha mbwa kwa wagonjwa ambao wanakuwa wamejeruhiwa na wanyama wakati ukweli ni kwamba dawa hizo hotolewa katika hospitali na vituo vya...
1.Lema hatomshitaki Mulongo kama kweli alitumiwa SMS ya vitisho.Asiishie kulalamika kwenye vyombo vya habari.
2.Kinana hatomshitaki Msigwa,kama kweli yeye sio "Dentist" wa meno ya tembo...
HIli ndo chimbuko halisi ya FUJO za mtwara.
Mnamo miaka ya 1980s mtwara ilikuwa ni moja ya mikoa maskini sana, nakumbuka mataruma yote ya reli yalitolewa, taa za airport zikatolewa ila wananvhi...
Mchawi wa rhymes, Profesa Jay amesema hakujiunga na CHADEMA ili mwaka 2015 awanie ubunge kama wengi wanavyodhani.
Rapper huyo wa Machozi, Jacho na Damu ambaye jina lake halisi ni Joseph Haule...
nimekuwa ni mtu wa kujiuliza sana juu ya hawa waheshimiwa wanao itaka nchi hii kama watawala wenye maamzi ya mwisho kwenye taifa hili...nimejaribu kufuatilia mienendo yao kwenye ulingo wa...
pambano linaongozwa na kituo cha Redio ya Kasibante inayomilikiwa na Kagasheki ambayo imeanzisha vipindi vya kuimba uzuri wa Kagasheki na kueleza upuuzi wa Dk Amani.
Tayari kundi la madiwani...
Katika kile kinachoonekana kuwa ni Kuzidiwa kwa CCM katika Uchaguzi mdogo wa UDIWANI ktk Kata ya Elerai Wilaya ya Arusha Mjini Mgombea wake Ndugu EMMANUEL MAIKO, ameendeleza Siasa za Kampeni ya...
Pamoja na kuwa na vyama vitatu vyenye nguvu sana CHADEMA, CCM, na CUF bado kuna haja ya kuwa na chama cha vijana .
Mimi ni mwanachama wa chadema wa miaka8 s na nimlipaji mzuri wa kadi...
Dar-es Salaam. Zaidi ya Dola 22.5 milioni za Marekani sawa na Sh36 bilioni zinatarajiwa kutolewa kwa Serikali ya Tanzania kutoka kwa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) kwa ajili ya...