Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

MTOTO mkubwa wa Waziri Mkuu wa zamani Hayati Edward Moringe Sokoine, Lazaro Sokoine, ameibuka na kutoa madai mazito ya kutaka mwili wa baba yake ufanyiwe uchunguzi, kubaini chanzo cha kifo chake...
2 Reactions
98 Replies
22K Views
Tume ya Mabadiliko ya Katiba imetoa mwongozo unaoruhusu kuanza rasmi kwa uundwaji wa Mabaraza ya Katiba ya asasi, taasisi na makundi mbalimbali kwa lengo la kujadili na kutoa maoni kuhusu rasimu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jana nlikuwa nasiliza majadala kuhusu Vikundi vya msimamo mkali wa kidini barani Afrika ziara ilioanza Zanzibar na kumalizikia Rwanda. Katika mjadala wote BBC SWAHILI walionyesha kwamba chombo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Akiongea ktk mkutano wa adhara tena mbele ya katibu mkuu wa CCM ndugu kinana Mh. Deo Filikunjombe aliongea maneno haya na naomba kuyanukuu."Ndugu zangu wana Ludewa sipendi kuona yale yaliyotokea...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Katika hatua ya pili ya kampeni huko Manchira Serengeti chama cha Demokrasia na maendeleo kimeanza hatua mpya ya harakati za kampeni zikijumuisha mbinu ya nyumba kwa nyumba. Mbinu hiii imetikisa...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Kwanza nimpongeze sana mwanamziki mahiri na mwasisi wa mziki wa kizazi kipya nchini Joseph Haule maarufu kama Profesa Jay kwa kujiunga na jeshi la ukombozi (Chadema). Nampongeza nikikumbuka...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Tumemskia magfli akikana kuwa katika kundi la sita na kukana kumchangia ktk harambee huko mwanza na magufuli kudai hana kundi na hayupo upande wa sita je sita amefiliska kisiasa kwa kumtumia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Closed
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amesema hamchukii Rais Jakaya Kikwete kwa sababu ya dini yake bali kwa udhaifu wa serikali anayoiongoza. Alisema...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mbio Za Urais: Prof. Lipumba Anakuja, Na Chupa Ya Maji Mkononi!16 October 2010 Na Maggid Mjengwa, MBIO za Urais zimeshika kasi. Media imekazana kuandika habari za JK na Slaa. Habari za CCM na...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Ndugu Wana JF! Kunakitabu kinachoelezea namna Azimio la Arusha lilivyopaa na baadae kutunguliwa na serikali tukufu ya CCM katika miongo miwili. Kimeandaliwa na Mwenyekiti wa Kigoda cha Mwalimu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
KONGAMANO KUHUSU MUSTAKBALI WA ZANZIBAR KATIKA KATIBA MPYA BONYEZA swahilivilla: Sikiliza kwa makini kamati ya maridhiano six: kongamano la kitaifa la mwongozo wa katiba ya Tanzania ya 1-2-3-4
0 Reactions
5 Replies
1K Views
WEDNESDAY, MAY 29, 2013 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiwatambulisha Viongozi katika ujumbe aliofuatana nao kwa Rais wa Jamhuri ya watu wa China...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
SerikalI imesema inatambua MCT/ jukwaa la wahariri na baraza la habar... Chikawe amesema vyombo hivi ni muhimu na vina mchango mkubwa katika tasnia ya habari. Hii ni tofaut na kauli aliyoitoa...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Lipumba akiwa kwenye nyumba ya ibada alidhibitisha kuwa mwaka 1995 aliombwa agombee Urais ili kuwakilisha watu wa Imani yake. Pia Mwaka 2010 Yeye na viongozi wa dini yake walizunguka nchi nzima...
12 Reactions
138 Replies
8K Views
Kwanza nianze kwa lakini nimebahatika kushuhudia siasa za Tanzania toka enzi za chama kimoja nikiwa Monduli nikishuhudia siasa za Mzee Moloimeti na hata Mtifuano wake na Mzee Lowassa mwaka 1995...
1 Reactions
0 Replies
886 Views
Kamanda Mawazo yuko Serengeti anafanya kazi na Makamanda usiku na mchana na anasema wakurya wanaelewa somo vibaya.KILA HERI
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Jeshi la Polisi linamshikilia mtu mmoja ambaye ni muhusika wa usambazaji wa SMS za uchochezi na matusi kwa viongozi wa nchi. Msemaji wa Jeshi hilo amedai kuwa kuna wamebaini kuna mtandao mkubwa...
0 Reactions
80 Replies
7K Views
Hakimu Devota Msofe wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha ameahirisha shauri la kesi inayomkabili Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema (Chadema), kwa tuhuma za uchochezi hadi Julai 2...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Sio siri kumbe kazi ya udiwani ni ngumu, leo huku diwani wa kata ya Kibaoni wilayani Kilombero alianguka na kufa muda si mrefu akimnadi mgombea udiwani CCM kata ya Ifakara. Naendelea kufatilia na...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Akijibu swali la mbatia, mbunge wa kuteuliwa, amekiri kuwa matumizi ya technolojia ya mawasiliano hususan simu za mikononi inatumika vibaya na baadhi ya watu na hivyo kuchchea chuki, vurugu na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…