Kiranja wa jamii
JF-Expert Member
- Jan 2, 2023
- 1,195
- 2,857
Kila wakijitokeza wanakuja na propaganda za maneno ya mdomoni ambayo wanayaita ushauri
Hivi kwa akili za kawaida kabisa kuna mtu anadhani kwamba kuna kiongozi atakaa chini aanze kusikiliza ushauri wa Polepole na Gwajima?
Kama wanataka kulisaidia Taifa kweli wanatakiwa waje kifua mbele na upuuzi unaofanywa na serikali kwa evidence zenye mashiko
Hapa namaanisha Polepole na Gwajima wanatakiwa waje na "skendo" kama zile za Escrow, Richmond, nk ambazo zitatikisa nchi na kila mtanzania ataona namna nchi inavyoibiwa. Hizi zitawashitua watawala
Kwa mfano, wakija na majina ya watu waliomdhuru Fr.Kitima, waliohusika kwa wale vijana waliotoweka hadi leo hawajulikani walipo hii angalau itaitetemesha serikali hasa hasa kama watu hao watakuwa connected na "vyombo"
Wakipata ujasiri wa kutaja majina, muktadha wa matukio, namna yalivyopangwa, malengo ya walioyapanga hapa angalau wataleta matokeo chanya kwenye movements zao.
Sijambo jema sana ku take risk ya maisha yao na ya familia zao halafu matokeo chanya yasionekane.
Nadhani hawatakiwi kuendelea kuzunguka zunguka, waende direct kwenye point nchi ipone!