Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nasikitika sana jinsi hali ya amani inavyozidi kuhujumiwa kila kukicha na hakuna baba wa kukemea. Kauli ya Nape ni kauli ambazo zinatakiwa kukemewa vikali katika kipindi hiki tata.Ubaguzi wa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
kwa utaft niliojarbu kuufanya na kuptia chaguza za jumuiya za ccm imeonyesha kuwa lowasa anakubalka zaidi...washndan zake kama benard membe na wengneo pamoja na kubebwa lakn wameshndwa kufurukuta...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
CCM yazidi kuwa na nguvu katika mkoa wa Njombe baada ya wananchi wake kushuhudia ukweli kwa kuona utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ukifanyika kama ilivyoahidiwa.....wakazi hao wa Njombe amabo wana...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Wana JF Hivi mikataba ambayo serikali yetu Tanzania inasaini hivi wanaisoma kabla hawajaingia au wanasaini bila kusoma.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Closed
Operation ya mchakamchaka hadi 2015 imeshika kasi na jana prof lipumba alifanya mkutano mkubwa pale zanziba na baadae itaendelea bara baada ya kusimama kule mtwara baada ya vurugu kubwa kutokea...
0 Reactions
43 Replies
3K Views
Ndugu zangu wana- Mara tuamke sasa nasi tudai vivutio vyote vya kitalii vitangaziwe Mara, kama moja wapo ya kuleta maendeleo katika Mkoa wa Mara. Kama wengi mjuavyo hasa Mbuga ya Wanyama iliyopo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mgombea wa CCM Ifakara kama ulivyoandika uzi mmoja hapa JF kuwa alienda Tanga ili kusafisha nyota, sasa amekuwa tishio kwa pamnde zote mbili CCM na CDM. Aliekuwa Diwani w ukTa y kibaoni alifariki...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Ni jambo la wazi kwa sasa kuwa bunge limekuwa ni tanuru la moto la kuchoma magamba ya CCM. Kuanzia Spika(Makinda), Naibu spika(Ndugai), Katibu mkuu wa CCM(Kinana), Naibu katibu wa CCM(Mwigulu)...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Vijana waliothibitika kutoka CCM jioni ya leo wamejikuta matatani baada ya kugunduliwa na walinzi wa amani wa Chademana kuwekwa kati hadi Polisi walipokuja na kuondoka na mmoja wao katika Mkutano...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Jana JF bado nipo viwanja vya hapa Kisesa wilaya ya Magu mkoa wa Mwanza. Nipo na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, ambapo tayari ametawazwa kuwa mshauri wa watemi wa kabila la WASUKUMA!. Kavikwa nguo...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wanaukumbi. Zaidi ya miaka 15 hatujawahi kusikia kiongozi wa chama cha upinzani Chadema na Katibu Mkuu Dr Slaa akipata mialiako ya kikazi nchi za Ulaya na Marekani. Tofauti na viongozi wa...
0 Reactions
107 Replies
8K Views
OCD na mkuu wa kituo cha police bomangombe HAI wamekuwa tatizo kwa wananchi wa wilaya ya Hai kwa ujumla. Sisi wananchi wa wilaya ya Hai imebidi tujitokeze kwani kwa muda mrefu sasa tumevumilia...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Sio sahihi hata kidogo kuweka utaratibu wa matangazo ya bunge yachukuliwe na TBC peke yake, na kwamba vyombo vingine vikitaka viyapate TBC. Hii ni kuwanyima watanzania uhuru wa kifuatilia bunge...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wazanzibari wanadai mamlaka kamili ya nchi yaoMazruiMediaLive on USTREAM: We are broadcasting live from MazruiMedia Studio!. Local News Mkutano mkubwa uliovuta hisia za wananchi wengi wa Visiwa...
2 Reactions
190 Replies
17K Views
Habari za uhakika kutoka ndani ya Jeshi hilo zimedokeza kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Inspekta Jenerali Said Mwema anatarajiwa kustaafu mwezi ujao na haijafahamika kama ataongezewa mkataba...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Viongozi wa taifa hili tuna lipeleka wapi elimu ya watanzania ina shuka kwa kasi, maisha ya watanzania yana kua magumu kila siku, viongozi wangu dada zetu hawana kazi kaka zetu hawana kazi ,wana...
0 Reactions
0 Replies
857 Views
OCD na mkuu wa kituo cha police bomangombe HAI wamekuwa tatizo kwa wananchi wa wilaya ya Hai kwa ujumla. Sis mwananchi wa wilaya ya hai imebidi nijitokeze kwani kwa muda mrefu sasa tumevumilia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Katika Hotuba yake ya awali, katika Utafutaji wa Gesi Asilia na Mafuta Uk wa 101, 192. "Mheshimiwa Spika, Serikali kupitia TPDC itaendelea kusimamia shughuli za utafutaji wa mafuta na gesi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Upepo mwanana unaovuma muda huu kutoka Kusini Mashariki, Waziri Mkuu, Mizengo Kayanza Peter Pinda anavuta upepo hapa Kisesa wilaya ya Magu. Pinda amekuja na msafara mrefu wa magari kwenye sherehe...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Member anaweza waingiza watanzania walioko nchi kwenye mkenge bila kujua, kumiliki uraia wa nchi mbili kuna harasa kuliko faida, lakini pia ukirudi Tanzania na kukutana na kasheshe za bongo uwezi...
1 Reactions
0 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…