Viongozi wa taifa hili tuna lipeleka wapi elimu ya watanzania ina shuka kwa kasi, maisha ya watanzania yana kua magumu kila siku, viongozi wangu dada zetu hawana kazi kaka zetu hawana kazi ,wana geuza miili yao kuwa biashara na miili yao kua sehemu ya store ya madawa,wengine wanakua wezi kwasababu ya maisha kua magumu,Taifa lina poteza nguvu kazi kwa vijana wengi kupotea kwa kutumia madawa ya kulevya na kuwa wezi na kuuwawa na wengine ku iuza miili yao na ku ambulia virusi, viongozi wangu mmekaa kimya mna cho waza ni madarakani pasipo kufikili elimu ya taifa letu mna ipeleka wapi pasipo kufikilia maliasili za taifa ili mna zilindaje pasipo ku fikiri nguvu kazi hii inayo tumia madawa mna isaidiaje? Ina uma ndo maana nimeamua kusema leo kwani kila siku naona viongozi wangu wachache wana sema na kuzungu mzia matatizo yetu huku wengine waki zungumzia matatizo ya vyama vyao nasi matatizo ya taifa mna tupeleka wapi viongozi nyinyi wa taifa hili uongozi sio ufalme uongozi ni utumishi.