Video: Uliberali walivuruga bunge

Video: Uliberali walivuruga bunge

Status
Not open for further replies.

Izz

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
750
Reaction score
322
[video=youtube_share;Rrl86Fo798w]http://youtu.be/Rrl86Fo798w[/video]

Uvumilivu wa kisiasa unahitajika kulinusuru Bunge letu
 
Mbowe kashindwa kabisa kuongoza wabunge wake.

Matokeo yake anaishia kuwaombea misamaha tu kwa utovu wa nidhamu na hoja za vurugu!!!
 
Mbowe kashindwa kabisa kuongoza wabunge wake.

Matokeo yake anaishia kuwaombea misamaha tu kwa utovu wa nidhamu na hoja za vurugu!!!

Kwani ni SHIDA kujua IDEOLOGY YENU? kwanini Mnapokea PESA za WESTERN WORLD na MKIWA Na Wapiga KURA wenu Mnawacriticise WESTERN WORLD? WHY DOUBLE STANDARDS...

Angalia PICHA MKUTANO wa LIBERALS nani yupo katikati???






banner_7.jpg

You are here: Home


Welcome to the Africa Liberal Network

The Africa Liberal Network is made up of 34 parties and organisations from 25 African countries, and is an associated organisation of Liberal International, the political family to which liberal democratic parties belong.

The ALN aims to promote liberal democratic objectives and principles throughout the African continent. The parties involved in the network are bound by a policy stating that they exist to ensure the freedom and dignity of all people through establishing political and civil rights, ensuring basic freedoms, the rule of law, democratic government based on free and fair elections with peaceful transition, ensuring religious, gender, and minority rights, fighting corruption, and establishing free market economies.
​
 
CUF nao waliamua tu wahit vichwa vya habari vya magazeti...
 
Dah..Kumbe Wenje alienda Kumwaga Chozi nje...
CUF watakuwa Walimkata ngumi za chembe
 
Mbowe kashindwa kabisa kuongoza wabunge wake.

Matokeo yake anaishia kuwaombea misamaha tu kwa utovu wa nidhamu na hoja za vurugu!!!

Hahahahaha! Mzee kazini! Ningeshangaa sana kama usingesema hivyo. Hivi kwanini unajidhalilisha vile kutetea serikali iliyooza? Inanuka! Njaa tu?
 
Hahahahaha! Mzee kazini! Ningeshangaa sana kama usingesema hivyo. Hivi kwanini unajidhalilisha vile kutetea serikali iliyooza? Inanuka! Njaa tu?

Aisee, vipi umeshamaliza kuhamasisha maandamano ya wanafunzi Morogoro?
 
Ila kwa hilo Chadema wanafiki tuwe tu wakweli. Kwa sababu Chadema ni chama rafiki na Conservatives wa U.K. Conservatives wale wale ambao serikali yao ina push ndoa za jinsia moja U.k. Conservatives wale wale ambao wanaongozwa na David Cameron alietishia kunyima nchi masikini misaada kama hawato tambua haki za mashoga. Sasa Chadema wamewaonyooshea wenzao kidole vitatu vimewa geukia wao. Kazi ipo mwaka huu.
 
wakuu nijuzeni, ideology sawa- lakini kulikuwa na umuhimu gan kuiongelea hapa?
 
Cdm wamesahau kuwa nyani hacheki kundule la mwenzake
 
Chadema baada ya kupambana na ccm saasa waehamia kwa cuf?? Hawa jamaa wa cdm hawana lolote ni kama wababaishaji tu, baada ya kujenga umoja na cuf wenyewe wanawadhalilisha cuf??
 
CHADEMA WANATAKA KWA KILA HALI NA MALI WAPENDWE NA WANANCHI, CHADEMA WANAGOMBANA NA WRONG ENEMY!! SaSA WENJE KARIKOLOGA KWELIKWELI, SASA HII INALETA PICHA GANI KWA JAMII??
 
Mbona tukisema chadema ni chama cha kikirsto mnakataa na mumeungana?
 
Ila kwa hilo Chadema wanafiki tuwe tu wakweli. Kwa sababu Chadema ni chama rafiki na Conservatives wa U.K. Conservatives wale wale ambao serikali yao ina push ndoa za jinsia moja U.k. Conservatives wale wale ambao wanaongozwa na David Cameron alietishia kunyima nchi masikini misaada kama hawato tambua haki za mashoga. Sasa Chadema wamewaonyooshea wenzao kidole vitatu vimewa geukia wao. Kazi ipo mwaka huu.

Sasa kama ndio hivyo kwa nini CUF walitoa mapovu na mijitusi mikubwamikubwa?..... kwa nini?...........si wangewajibu CHADEMA kwa hoja kama uliyoibandika wewe! au hawa jamaa ndo nwale wenye msimamo mkali?:heh::heh:
 
naamini ili kuweka hali ya hewa sawa juu ya msimamo wa cuf kuhusu masuala ya ndoa ya jinsia moja ni vyema kauli mbiu yake ya haki sawa kwa wote ikawekwa sawa ili kjuondoa mtafaruku.wapo wanaodaii kuwa eti neno wote liliwekwa makusudi kwa lengo la kuwahadaa wafadhili wa nje wa cuf kuwa cuf inaunga mkono ushoga.wapo wanaodai kuwa neo wote liliwekwa kiujanja ili muda ukifika cuf waruhusu ushoga na usagaji.nadhani ni muda sahihi kwa cuf kuielezea sera hii vyema na kuondoa hisia mchanganyoko.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom