Mishahara ya madaktari kwa baadhi ya nchi za Afrika

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,658
20,889
Huu ni mshahara wa daktari anayeanza kwa kiwango cha shillingi za kitanzania

Zambia-millioni 1.9

Namibia-millioni 5.7

Africa kusini-millioni 6.2

botswana-millioni 4.023

kenya- walikuwa wanadai milioni 3.299
wazambia wamemuingiza sata kawapa hizo mwaka huu ni nyongeza ya 100%
 
SRKL Ilifikiri wame kokotoa gharama bila kufanya comparison na nchi nyingine
 
Wana siasa ni walafi wanakula mikono 2, Hela ya kuboresha secta ya afya ipo
 
Yani akili matope mbaya sana kwa kuwa huwezi fanya comparison bila kujua kiwango cha uchumi cha hizo nchi kwanza
 
nigeria-1.57millioni
ivory cast-zaidi ya 1.54 millioni
 
Mambo mengi hapa kwetu yanawezekane ila tumekaririshwa kuwa 'nchi yetu ni maskini,nchi yetu ni maskini' huo ndo wimbo tunaoimbiwa na watawala wetu....., na umetukolea kweli!
 
Leta basis ya kufanya data zako ziwe useful for discussion e.g. Can we compare ourselves to SA? How much do they pay engineers, lawyers, teachers etc. Mimi nadhani hata kama madokta wanalipwa viwango hivyo mishahara ya wanataaluma wengine ni relative to those scales!
 
Huu ni mshahara wa daktari anayeanza kwa kiwango cha shillingi za kitanzania

Zambia-millioni 1.9

Namibia-millioni 5.7

Africa kusini-millioni 6.2

botswana-millioni 4.023

kenya- walikuwa wanadai milioni 3.299
wazambia wamemuingiza sata kawapa hizo mwaka huu ni nyongeza ya 100%

Fukuza madoctor wooooooote JK

Hawataki mshahara mkubwa wote?

Mwalimu wa degree analipwa take hom 371000/=
 
Huu ni mshahara wa daktari anayeanza kwa kiwango cha shillingi za kitanzania

Zambia-millioni 1.9

Namibia-millioni 5.7

Africa kusini-millioni 6.2

botswana-millioni 4.023

kenya- walikuwa wanadai milioni 3.299
wazambia wamemuingiza sata kawapa hizo mwaka huu ni nyongeza ya 100%

Tuangalia uchumi kwa baadhi ya hizi nchi (2010)

Zambia GDP - USD 16.19bh (est figure za 2011 ni USD 20.288bn)
Botswana GDP - USD 14.86bn
Namibia GDP - USD 12.17bn
Tanzaniza GDP - 23bn !!!
 
Leta basis ya kufanya data zako ziwe useful for discussion e.g. Can we compare ourselves to SA? How much do they pay engineers, lawyers, teachers etc. Mimi nadhani hata kama madokta wanalipwa viwango hivyo mishahara ya wanataaluma wengine ni relative to those scales!

Suti SA ni Rand 10,000/=
bongo ya laki na nusu unapata

Shati zuri ni Rand 200/=
bongo ni 25000/=

exchange rate Rand 1= 200 Tsh
 
Mambo mengi hapa kwetu yanawezekane ila tumekaririshwa kuwa 'nchi yetu ni maskini,nchi yetu ni maskini' huo ndo wimbo tunaoimbiwa na watawala wetu....., na umetukolea kweli!
Na wakati tunaimbiwa huo wimbo wa nchi yetu maskini, wabunge kwa kazi ya kugonga meza na kuitikia NDIYOOOOOOOOOOOOOOO wameongezwa mshahara hadi milioni 10. Inauma sana.
 
Naomba uweke na GDP za hizo nchi.
inasemekena GDP sio njia nzuri ya kufany comparison so wanapenda kutumia purchasing power parity(PPP). kutoka kwenye list ya IMF
ZAMBIA-156
ivory coast- 157
Tanzania -158
south africa-78
 
Red Giant Leta na comparison ya mishahara ya kada zingine kwa nchi husika lakini pia gharama za maisha na kiwango cha uchumi kwa nchi hizo. Hapo ndo utakuwa fair...
list by PPP inaconsider vyote ulivyozungumza
ZAMBIA-156
ivory coast- 157
Tanzania -158
south africa-78
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom