Maana ya utawala bora,
Ni usimamizi wa rasilimali za nchi kwa minajili ya kuwepo na uwazi,uwajibikaji,,usawa, nakujali mahitaji ya wananchi. Mwalimu Nyerere alisema bila ya utawala bora...
Nimetazama taarifa ya ITV nikakutana na watu wawili wa ajabu sana. Kuna kinana ambaye kapooza km ana ganzi,huku akitaka viitikio vya ndio hapana ktk majukwaa .Ingawa najua hiyo itamliza haraka...
Hivi magufuri si angemuomba tu huyu mzee ushahuri?
FAHAMU KUFURU ALIYOIFANYA LEO BAKHARESA NCHINI,ASHUSHA MELI HII HAPA MPYA..YA KASI ZAIDI NCHINI..YEYE HUYU HAPA
Boti mpya ya...
TUME YA UTUMISHI WA UMMA. KIFUNGU NA 178
KIFUNGU KIDOGO NA (4) "Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma atateuliwa na Rais baada ya kuidhinishwa na Bunge kutoka miongoni mwa watumishi waandamizi wa...
Ni jioni hii wakati akichangia hotuba ya wizara ya elimu na mafunzo,mbunge wa Rombo, Joseph Selasini ameitaka serikali iziachie dini husika kushughulikia suala la kuratibu namna ya kuendesha elimu...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea jijini Singapore leo wakati alipokutana na wafanyabaishara za ujenzi wa nchi hiyo mara tu baada ya kutua kutoka Japan alikokuweko kwa ziara ingine ya kikazi...
Rasimu ya Katiba mpya iliyozinduliwa juzi na Makamu wa Rais wa Tanzania,Dr.Mohamed Gharib Bilal imeyazungumzia mabilioni ya vigogo,hasa viongozi wa umma. Ibara ya15, Ibara ndogo ya 2 inakataza...
Nimeipitia rasimu ya katiba, haya maisha yalivyo magumu tukiongeza na rais wa tatu itakuaje, maana kuhudumia marais watatu wenye mawaziri kumi natano manaibu waziri 15 makatibu wakuu ,watu wa...
Mbunge mmoja akichangia bajeti ya wizara ya elimu ameonyesha kukerwa na tabia ya serikali kuonyesha upendeleo wa mikoa ya kaskazini.Mbunge huyo ametoa mifano mbali mbali kuelezea hali hiyo...
Waziri Hawa Ghasia katika mkutano wake na wenyeviti wa Halmashauri wakurugenzi na wahandisi kilichofanyika Morogoro tarehe 3/6/2013 katika Hoteli ya Edima aliwatangazia kuwa ni marufuku kutoa...
Amewaambia mawaziri,wabunge,viongozi wa siasa na wananchi hivi sasa wakati anaahirisha bunge kuwa "acheni siasa kwenye suala la Elimu"
Akawaambia "talk on issues not people"
Spika Makinda amesema...
Katika hatua nyingine ambayo ni ya kihistoria katika hatua za awali za upatikanaji wa katiba mpya.Tume ya Katiba imetoa rasimu yake,na imezungumzia mambo mengi yaliyojadiliwa na wananchi mojawapo...
ibara inataka mwenyeki awe na sifa kama
(1)awe raia -
(2) awe na shahada ya chuo kikuu
(3) awe na uzoefu katika utumish wa umma kipindi kisichopungua miaka kumi
(4) na mtu mwenye heshima...
Sote tunajua Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Absalom Kibanda alirudi jana akitokea Afrika Kusini alipokuwa akitibiwa. Lakini jambo la kushangaza kwa serikali yetu na hasa chama...
Nanukuu 'Mtumishi wa umma aliye katika ajira ya kudumu hataruhusiwa kuingia katika ajira nyingine ya malipo ya mshahara'.
Ibara hii inaweza kuwa nzuri sana kwa kuwa itajenga mazingira ya watu...
katika hii mika ya karibuni wezetu wa mrima wamebandikwa ukalululu wa makusudi wamini kuwepo kuna Tanzania Zanzibar lakini hakuna Tanzania Tanganyika ,Nchi mbili hizi kabla ya kuzaliwa Jamhuri...
Licha ya kusifikia kama kisiwa cha amani na utulivu, Tanzania ni Taifa la Majanga ya Kila Aina. Kwa miaka zaidi ya hamsini sasa, bado tunapambana na maadui wale wale wa maendeleo Umaskini...
Nakumbuka siku za karibuni , CHADEMA walipotangaza kususia mchakato mzima wa uundwaji wa katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano, huku wakimtaka mwakilishi wao kwenye tume ya katiba, Prof. MWEISIGA...