Akiwa katika ziara yake nchini Senegal, Obama alijikuta katika wakati mgumu kutokana na mwenyeji wake, Rais Macky Sall kupinga kauli yake ya kumtaka kurekebisha sheria zao za kutoa haki kwa...
Wasalaam wakubwa,,
Kwa muda wa mwezi wa pili sasa tatizo la ucheleweshwaji wa mishahara kwa wafanyakazi wa jiji la Mwanza umekua ukitokea hali inayosababisha sintofahamu kwa wafanyakazi...
Kova ameyasema ayo Tbc muda mfupi uliopota akizungumzia ujio wa mnyamwezi Obama..
pia ametoa tahadhari kama utapaki gari lako pembeni ya barabara litachukuliwa kama chuma chakavu na usimlaumu...
Wakuu ni imani yangu kuwa mpo salama,
Nimeshusha uzi huu ili tujaribu kuliangali swala hili kiupana zaidi. Katika vitu ambavyo vimeniacha hoi zidi ya ujio wa Obama ni kufunga baadhi ya shule...
Ikiwa leo siku ya jumapili naomba nianze kuwasalimu wana jf kwa kusema tumsifu Yesu kristo,
wana jf, jana juma mosi ya tarehe 29/6/2013 wanachadema wa Arusha tulijitokeza kwa wingi katika ofisi...
Wana Ukumbi,Kila mtanganyika anasikika akisema wazanzibari tunalalamika sana. Sijui ndio tunalalamika kweli au tunasema ukweli tu tu. Tanganyika ni ndugu zetu, tena ndugu wa kidamu, hili...
I have watched various video recordings, read various newspaper reports, studied various pictures taken and listened to various witnesses' accounts of what took place before, during and after a...
At least 31 people have died on in a blaze that engulfed an oil tanker after it was hit by another vehicle in a suburb of the Ugandan capital, police said Sunday.
"We can confirm 31 dead and over...
Inaelekea draft ya katiba imetupotosha na kusahau jambo la msingi kuliko yote. Moja ya mambo ambayo yalifanya vyama vya upinzani kutaka kugomea process ya katiba mpya ni kubadilishwa kwa sheria...
....hapa ndipo palikua nyumbani kwetu, hiki ndicho kilikua chumba cha wazazi wangu, nakukumbuka na hiki ndicho kilikua chumba cha dada zangu, hapa ndipo mahali alipopapenda sana baba kupunga upepo...
nchi yetu inapitia katika kipindi kigumu sana sasa hivi. CHADEMA ni chama kikubwa sana sasa hivi pengine kuliko CCM. CCM wanaujua lakini hawataki kuukubali ukweli huu.wanawaona viongozi na...
Bungeni Dodoma kupitia maswali ya papo kwa papo kutoka kwa Mh Ally mohamed ameuliza kuwa hivi karibuni viongozi wa kitaifa wameonekana wakilalamika kuwa Ufisadi ni tatizo kubwa,huku waziri mkuu...
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiongea na waandishi wa habari mara tu baada ya kumaliza ziara yake na ugeni aliouongoza kutembelea mabanda mbalimbali ya maonesho tarehe 30.6.2013.
Mke wa Rais...
Kwa mara nyingine tena vyama hasimu CCM na CHADEMA vinataraji kutoana jasho katika chaguzi ndogo za serikali za mitaa mitano[5] zitakazofanyika ndani ya jimbo la Iron Lady Halima Mdee almaarufu...
Kutokana na ukubwa wa wilaya ya Iringa ambayo haina tofauti na ukubwa wa mkoa kama mtwara na hata kilimanjaro,sisi wenyeji wa wilaya hii tunaomba wanaojijua kuwa ni wadau wa hili waanzishe...
Ndugu zangu, tukiwa tunajiandaa na serikali tatu, nashauri watanganyika tuanze kujianda na yafuatayo:-
1. Tuwaambie kabisa wapenzi wa muungano huu, waanze kuanda ikulu yao atakayeishi rais...
Moja kati ya haya linaweza kuwa sahihi kabisa kabisa...
Kabla ya yote tukumbushane kwamba leo ndio ilikuwa marejeo ya Uchaguzi wa Madiwani Arusha baada ya 'kuvurugika' kufuatia Mkutano wa Chadema...
Aliyekuwa Rais wa kwanza nchini Kenya Mh Kenyatta na Msomi wa Kijaluo wakati huo Bw Barack Obama senior walikuwa hawaivi chungu kimoja kutokana na kuwa na mitazamo inayokinzana kuhusu namna ya...