JK anaujasiri huu..???

JK anaujasiri huu..???

Medical Dictionary

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2012
Posts
1,060
Reaction score
309
Akiwa katika ziara yake nchini Senegal, Obama alijikuta katika wakati mgumu kutokana na mwenyeji wake, Rais Macky Sall kupinga kauli yake ya kumtaka kurekebisha sheria zao za kutoa haki kwa makundi ya mashoga.

Rais huyo alipinga kauli hiyo, mbele ya wanahabari ambako alisema; "ingawa Senegal ni nchi tulivu sana, lakini haiko tayari kuruhusu maingiliano ya ngono kati ya watu wenye jinsia moja, na hatuko tayari kubadili sheria kwa ajili ya kuwatambua kwa sababu nchi hii watu wake wengi ni waumini wa dini ya Kiislamu ambao wanakataa kusikia hilo likitokea.

Baada ya kuona sheria yake imeshindwa kupenya,Obama alisema kuwa nia yake katika mkutano huo haikuwa kufanya majadiliano ya suala hilo na Sally.
 
Baba Riz tunatarajia na ww utaipinga kauli hii ukiwa nyuma ya kamera na mic(kwakua nchi imekushnda hasa kwa muhula wa pili wa uongozi wako😀),wakati Obama atasema waziwazi bila kificho mbele ya kamera.
 
Itabidi achague kati ya kumpinga kuhusiana na ushoga na kupata umeme.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Ninavyomjua JK hawezi kusema lolote, atasubiri wazee wa 'ndiyooo....!!, wakajadili Bungeni!
 
Hangera zao wa Senegal wamepata rais jasiri
 
JANGA LA KITAIFA sijui itakuwaje, kwa anayoyafanya na damu iliyomwagika mikononi mwake atakubali tu ili apate hifadhi kwa obama punde tu utawala wake ukiisha
 
atasema hivi, "tutaupeleka ushauri kwa wananchi ili wenyewe ndio waseme na pia bunge litajadili hili swala" thank you dad or no Mr. President, I will come there in two weeks time. should I drop by white house for a short call?
 
Hana ujasiri huo na akiipeleka bungeni ni kwamba amekubali coz atawaambiwa wazee wa ndiyo wakiulizwa wakibali.
Wazee wa ndiyo nawaaminia hata wakiambiwa palepale mjengoni geuka apigwe kabang hawana hiana. Ndiyoooo
 
Tusubiri taarifa za madarasa na barabara na kujiuza kwa kumwambia sasa kwa kinywa tuna gesi na uraniun na ardhi mana sisi hatuwezi kuifanyia kitu.
 
Kama Mkuu wa mkoa ametuambia tutabasamu mgeni akija usitarajie watamuonesha sura ngumu akitaka tukubali ushoga.
 
Kwanini tuna khofu na Kikwete kushindwa kupinga kama Obama ataleta jambo hilo, tupen experience ya kikwete katika jambo kama hili.
 
hahahahahaaaaaa kila kitu kina raha na kadhia. hapo chacha.ngoja tusubilie.
 
Akiwa katika ziara yake nchini Senegal, Obama alijikuta katika wakati mgumu kutokana na mwenyeji wake, Rais Macky Sall kupinga kauli yake ya kumtaka kurekebisha sheria zao za kutoa haki kwa makundi ya mashoga.

Rais huyo alipinga kauli hiyo, mbele ya wanahabari ambako alisema; “ingawa Senegal ni nchi tulivu sana, lakini haiko tayari kuruhusu maingiliano ya ngono kati ya watu wenye jinsia moja, na hatuko tayari kubadili sheria kwa ajili ya kuwatambua kwa sababu nchi hii watu wake wengi ni waumini wa dini ya Kiislamu ambao wanakataa kusikia hilo likitokea.

Baada ya kuona sheria yake imeshindwa kupenya,Obama alisema kuwa nia yake katika mkutano huo haikuwa kufanya majadiliano ya suala hilo na Sally.


Ina maana huyu Rais wa Senegal angekubali kama nchi yake isingekuwa na "waislamu wengi"? Kwa hiyo kikwazo kwake ni waislamu? Hayo sio matusi kwa raia wengine? Na huyo ni kiongozi wa juu kabisa wa nchi! Kuna "mtaalamu" mmoja miaka ya nyuma aliwahi kuhoji IQ ya mtu mweusi naanza kushawishika angalau kufuatilia utafiti wake.
 
Back
Top Bottom