Obama na Bush Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Obama na Bush Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mbangubangu, Jun 21, 2013.

 1. M

  Mbangubangu Senior Member

  #1
  Jun 21, 2013
  Joined: May 6, 2013
  Messages: 189
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ni jambo la kujivunia Tanzania kwa marais hawa wa marekani kuja kwetu kwani macho yote ya dunia yatakuwa kwetu hii ni fursa kwetu.Tarehe 2-3/july ni siku ya kihistoria.

  Je ni kweli hawa watu wanakuja kwa nia njema? Au ni kuhoji mikataba aliyo saini rais wa china? Au ni kuja kutia msisitizo mikataba ya Bush na Tanzania kama ile ya kina Karl Peter wakati wa ukoloni. Tuna habari bwana Bush alisaini mikataba ya umiliki wa kigamboni, Serengeti, Barick na Uranium.

  Mungu ibariki Tanzania.

  -----------------------------------

   
 2. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2013
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 2,101
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 160
  Hamna chochote eti alileta misaada ya vyandarua! wanakuja kupora. Maendeleo tutaleta sisi wenyewe na si hao wanao taka kubebea raslimali zetu
   
 3. Kingo

  Kingo JF-Expert Member

  #3
  Jun 21, 2013
  Joined: May 12, 2009
  Messages: 780
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 60
  Who/what is G Bush? Hivi kuja au kutokuja kwake Tanzania kunasaidia vp maisha yangu mimi mlala hoi kama si kuendelea kuwaneemesha walala heri? Maana mlala hoi sasa hivi anaondolewa katikati ya jiji, ..... so?
   
 4. b

  bluetooth23 JF-Expert Member

  #4
  Jun 21, 2013
  Joined: Apr 8, 2013
  Messages: 348
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mnashangilia ujio wa Bush na Obama badala ya kulia? Bush alipewa kigamboni, obama anakuja kusain gas ya mtwara ambayo ni lazma iende dar kwa ajil ya mrad wa kigambon. Ndo maana sirikali hawana jinc kuileta gas dar kwa sababu ishasainiwa kuwa ndo nishat itakayotumika kigamboni. Net alizotupa Bush zna sumu inayopunguza umri na kudhoofisha afya taratbu, chanjo za mashulen alizosain Xi Jinping ndo kabisa majanga na umri wa kuish hawa watoto waliozaliwa sasa hata mika 30 hawatafka. Usishangilie Bush kuja unatakiwa ulie. Leo kwa deni la taifa tunalodaiwa nje, kwa watanzania mil 45, tukiligawa kwa kila mtanzania, kila mmoja wetu anadaiwa milion 12 na hzo utalipa katka kod ya kibirit, vocha, mafuta, naul, na kadhalika mpaka ulimalze, mpaka mait yko itadaiwa na italipa hlo den. Wakat unashangilia ujio wa hao marais, wanaojua wanalia machoz ya damu. Hakuna urafik wa bepar na mlalahoi. Jtambuen
   
 5. hasason

  hasason JF-Expert Member

  #5
  Jun 21, 2013
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 1,541
  Likes Received: 778
  Trophy Points: 280
  sa wewe umeshasema ni jambo la kujivunia but at the same time unashikwa na wasiwasi juu ya usalama wa rasilimali za tanzania juu ya ziara zao??
  Hata wakija na mama zao, Tanzania itajengwa na kuletewa maendeleo na watanzania wenyewe na sio hao maharamia wa rasilimali za wa-Africa mbona wasiende kumtembelea Robert Mugabe.
  usiwe dhaifu wa rangi nyeupe.
   
 6. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #6
  Jun 21, 2013
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 4,882
  Likes Received: 998
  Trophy Points: 280

  Kwa taarifa yako bora Bush kuliko Obama kwani ni Bush ndiye aliyesaidia Afrika zaidi. Kutokana na sababu za politics, Obama hawezi kutoa misaada ya hajabu Afrika kwani Marekani watamlalamikia kwa kuwa ana asili ya Afrika, hivyo jivunue ujio wa Bush siyo wa Obama.
   
 7. kadoda11

  kadoda11 JF-Expert Member

  #7
  Jun 21, 2013
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 14,575
  Likes Received: 5,935
  Trophy Points: 280
  freemason bush anakuja kukagua issue zake aliso sign round ileee.
   
 8. C

  Chikaka Sumuni JF-Expert Member

  #8
  Jun 21, 2013
  Joined: May 16, 2013
  Messages: 1,340
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mie nadhani watanzania tumelogwa na mchawi alikufa pamoja na mganga wa kutugangua. Wanakuja waporaji wa raslimali zenu ninyi mnashangilia kama zzuzueti ni jambo la kushukuru Mungu. Du tuna safari ndefu,
   
 9. Mshomba

  Mshomba JF-Expert Member

  #9
  Jun 21, 2013
  Joined: Apr 7, 2013
  Messages: 1,589
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  Huu ujio wa hawa mabwana hawa narudia kusema watz mtajutia jamani ohooo sio watu hawa
   
 10. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #10
  Jun 21, 2013
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 0
  Dunia ya leo ni kijiji, tujivunie na tuchukuwe fursa za hawa wawekezaji, tuachane na siasa za kijinga.

  Hao wakitaka kuchukuwa, ukikataa kwa hiyari wanachukuwa kwa nguvu.

  "You're either with us or against us" George Bush Jr.
   
 11. C

  Chikaka Sumuni JF-Expert Member

  #11
  Jun 21, 2013
  Joined: May 16, 2013
  Messages: 1,340
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Wewe una akili sana, ebu jaribu kwenda kutafuta visa ya kwenda USA ndo uelewe tunachokisema. Hakuna watu wa ajabu kama hawa, Shida ni kwamba viongozi wetu wamelogwa na kuwa na utegemezi wa kiakili, kiuchumi, kijamii na kisiasa. Hakuna fahari yoyote ya kushangilia eti OBAMA oh Bush anakuja hawa wote ndo tuliosoma zamani Nyerere aliwaita MABEBERU. Ukiona watu wanajikomba kwa hawa ujue hatuna tena uhuru wetu kamili.
   
 12. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #12
  Jul 1, 2013
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  DAR ES SALAAM, Tanzania (AP)

  President Barack Obama and former President George W. Bush are planning to be in the same city a world away from home, but the question is whether they will get together.


  The Democratic president was to fly Monday into Dar es Salaam, Tanzania, the last stop on a weeklong tour of Africa that wraps up Tuesday. His Republican predecessor coincidentally also plans to be there for a conference on African women organized by the George W. Bush Institute.


  Their wives plan to team up at the conference Tuesday for a joint discussion on promoting women's education, health and economic empowerment. President Bush plans to be in attendance, before delivering his own speech there the following day, after the Obamas will have left.


  Initially aides said the men had no plans to meet, but Obama foreign policy adviser Ben Rhodes indicated Sunday that could change. "There may be something," Rhodes said.
  Having both presidents in town "sends a very positive message that both political parties in the United States share a commitment to this continent," Rhodes said.


  During his African visit, Obama has credited Bush with helping save millions of lives by creating the President's Emergency Plan for AIDS Relief.


  "The United States has really done wonderful work through the PEPFAR program, started under my predecessor, President Bush, and continued through our administration," Obama said Sunday during a visit to the Desmond Tutu HIV Foundation Youth Center in Cape Town.


  Bush's accomplishment in fighting AIDS was one of his signature foreign policy successes, while Obama has not been so focused on Africa despite his roots there and only now is making a major presidential trip to sub-Saharan Africa. Obama's only previous visit as president was a brief visit to Ghana his first summer in office, although he traveled to Africa several times previously and has vowed to come back.


  Obama told reporters earlier in the trip that finances and politics play a role in preventing him from doing more.
  "Given the budget constraints, for us to try to get the kind of money that President Bush was able to get out of the Republican House for massively scaled new foreign aid programs is very difficult," Obama said. "We could do even more with more resources. But if we're working smarter, the amount of good that we can bring about over the next decade is tremendous."


  Any visit with Bush would have to fit into a busy schedule for Obama.
  He arrives in Tanzania Monday afternoon and heads for a meeting with President Jakaya Kikwete. Obama plans to meet later with business leaders from the U.S. and Africa to talk about increasing trade in east Africa, before ending the evening with a dinner hosted by Kikwete.


  On Tuesday, Obama plans a private greeting at the U.S. embassy, and then a quick stop at the memorial on the grounds of the former embassy that was bombed nearly 15 years ago, killing 11 people. The president then delivers a final speech focused on bringing more electric power to Africa and heads back toward Washington by noon.

  Obama, Bush heading to the same African city
   
 13. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #13
  Jul 1, 2013
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,836
  Likes Received: 875
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 14. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #14
  Jul 1, 2013
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,042
  Likes Received: 1,232
  Trophy Points: 280
  Bush atakuwa na wasiwasi kuhusiana na maslahi yake.Si bahati mbaya na yeye kujichomeka kwenye tripu wakati Obama yuko bongo.Halafu tena anakutana na JK kabla hata JK hajakutana na Obama.Ninahisi kuna interests zake kaja kuzilinda.
   
 15. Bwa'Nchuchu

  Bwa'Nchuchu JF-Expert Member

  #15
  Jul 2, 2013
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 2,178
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Hmmm....Bush kakutana na JK kabla ya JK hajakutana na Obama? Una uhakika kweli hapo?
   
 16. N

  Nonda JF-Expert Member

  #16
  Jul 2, 2013
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,281
  Likes Received: 1,910
  Trophy Points: 280
  Wamekuja kudai "chenji" yao ya vyandarua.

  Kama hauna hiyo "mapesa" wanakubali mbadala ulionao, almasi, wese, dhahabu nk.
   
 17. Bobwe

  Bobwe JF-Expert Member

  #17
  Jul 2, 2013
  Joined: May 21, 2013
  Messages: 1,242
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Aliye waroga watanganyika ni nyerere na amekwisha kufa.
   
Loading...