mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,492
- 772
Naam
Ndugu yetu Obama tayari amekwishaondoka,huku watanzania tulio wengi tukiwa bado na shauku ya kujua nini hasa kilichojiri na manufaa yake kwa watanzania tulio wengi.......
miez kadhaa iliyopita raisi wa Uchina nae alifika hapa,pamoja na mambo mengine aliweza kutia saini mikataba kadhaa iliyoonekana kuwa na manufaa kwa watanzania wengi endapo longolongo hazitakuwepo.....
sasa basi,naomba michango yenu wakuu kati ya ziara hizi mbili za viongozi wa mataifa makubwa kiuchumi ipi unaona itawanufaisha au imewanufaisha zaidi watanzania tulio wengi......bado natafakari!