Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mbunge wa Kinondoni (CCM), Tarimba Abbas amesema Serikali haioni haja ya kuweka sharti la kisheria la watoto wakubwa kuwatunza wazazi wao wasiojiweza. Akizungumza Bungeni Leo Jumatano Januari...
5 Reactions
89 Replies
791 Views
Haya ni mabadiliko makubwa katika siasa za sasa za kikanda na kidunia. Wafanyabiashara wa Uingereza wataruhusiwa kuingia china bila visa
1 Reactions
18 Replies
206 Views
Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka Watanzania watunze akiba ya chakula walichonacho na waepuke matumizi yasiyofaa kutokana na hali ya kuchelewa kwa msimu wa mvua. Waziri Mkuu...
9 Reactions
61 Replies
2K Views
Kwa miaka mingi sana, nimekuwa mfuatiliaji wa CV za Magavana wa Benki Kuu za nchi mbalimbali duniani. Katika ufuatiliaji wangu, miaka yote kwenye mataifa mbalimbali, Magavana wa Benki Kuu...
69 Reactions
359 Replies
14K Views
Papa Leo XIV, kabla ya Katekesi yake ye jana Jumatano, alipokea ujumbe maalum wa Samia kutoka kwa Balozi Kombo, baada ya kupokea aliwaambia, anajua Tanzania ilikuwa na uchaguzi 29/10/2025...
41 Reactions
75 Replies
1K Views
Guys, Hapa Mwigulu alikuwa anazungumza jana wakati akihitimisha mjadala wa hotuba ya ufunguzi ya Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Nimejaribu kutumia 4 figure bado sijaelewa. Aliyeelewa anieleezee...
2 Reactions
17 Replies
388 Views
Malingalinga ni hali ya kuwa hobelahobela, mzobemzobe, bila utaratibu MBELE KWA MBELE Tuna vitengo viwili vya propaganda hapa jukwaani, kitengo cha propaganda cha UKAWA hawa wanajitolea hawalipwi...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Huu ndio ujumbe wa Leo Msikilize
13 Reactions
19 Replies
485 Views
Kingekuwa na uwajibikaji hadi muda huu Amani Golugwa na Mnyika wangekuwa wameshajiuzulu ili kulinda taswira ya chama. Haiwezekani Tsh 19m alizochangiwa mwenyekiti Lissu zitafunwe na wahuni ndani...
3 Reactions
45 Replies
596 Views
Mwwenyekiti na Chama cha Waandishi wa habari mkoa wa Iringa na mwandishi wa habari wa Channel 10 amepigwa risasi na polisi kwenye mkutano wa CHADEMA Mufindi. --- Mwandishi wa habari wa Channel...
23 Reactions
893 Replies
94K Views
“He Killed My Ma, He Killed My Pa… I'll Vote for Him” Hiyo ilikuwa slogan ya wafuasi wa dikteta Charles Taylor wa Liberia mwaka 1997 kwenye uchaguzi mkuu baada ya kuisha kwa vita vya kwanza vya...
1 Reactions
9 Replies
208 Views
Uamuzi wa kuuza sehemu ya hazina ya dhahabu ya Tanzania si mpango wa kiuchumi. Ni tamko la kushindwa kwa dola. Ni kukiri wazi kwamba serikali imeshindwa kuendesha nchi kwa uadilifu, imeshindwa...
29 Reactions
75 Replies
1K Views
Kuna msiba uliotokea ila umeibua maswali mengi ya chinichini. Kwa jicho langu la kijasusi najiuliza maswali hapa ambayo bado yanakosa majibu. Kwanza, huyo dada mkwe anaitwa nani, mbona taarifa...
4 Reactions
13 Replies
547 Views
kuwapangia wabunge nini cha kuongea bungeni wasifie tu ni kinyume cha sheria na hakina msingi wowote ni ujinga na upumbavu. Nimesikia wabunge wanapangiwa cha kuongeea bungeni tena huongei mpaka...
3 Reactions
14 Replies
280 Views
  • Redirect
uuzaji wa dhahabu ulikuwa kama vile mtu binafsi anauza dhahabu zake haukuwa na ushirikiwaji wa wananchi zile ni mali za Tanzania sio za mtu mmoja
0 Reactions
Replies
Views
Hello! Sasa hivi kwenye sekta ya utalii fursa ziko wazi, kwenye sekta ya madini fursa ziko wazi, kwenye sekta karibu zote kuna fursa nyingi. Kijana badala ya kushinda kwenye mitandao ya kijamii...
4 Reactions
13 Replies
306 Views
Hawa viongozi wetu wanalitia aibu Taifa sana. Hivi hawakujua kabisa kwamba kabla Papa hajaonana nao tayari alikuwa na full CV zao? Ama ni katika kujikombakomba ili muonekane hamna tatizo na...
12 Reactions
36 Replies
861 Views
  • Redirect
Watu wanazani sisi tunapo simama kidete kupinga kupuuzwa kwa katiba wanazani sisi ni wapumbavu, ona sasa rasilimali za nchi zinauzwa zote kwaajili ya upumbavu na ujinga wako wewe askari mbumbumbu.
0 Reactions
Replies
Views
Waziri wa Elimu, Profesa Adolf Mkenda, anazungumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio na utekelezaji wa ahadi za Rais Samia Suluhu Hassan ndani ya siku 100 za kwanza za utawala wake. Kikao...
1 Reactions
5 Replies
176 Views
DKT. MWIGULU ASHIRIKI AZANIA BANK BUNGE BONANZA 2026 Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 31, 2026 ameshiriki kwenye Azania Bank Bunge Bonanza 2026 linalofanyika katika viwanja vya Shule...
1 Reactions
6 Replies
177 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…