Kabudi akijitambulisha kwa Papa: "Nimesoma St. Augustine".

Common Folk

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2023
Posts
909
Reaction score
4,050
Hawa viongozi wetu wanalitia aibu Taifa sana. Hivi hawakujua kabisa kwamba kabla Papa hajaonana nao tayari alikuwa na full CV zao?

Ama ni katika kujikombakomba ili muonekane hamna tatizo na Katoliki na mmepata elimu zenu kwenye taasisi zao!

Halafu hawa mapicha picha ya kuchanganya mchanga na Tanganyika na Zanzibar mnayapeleka kwa Papa ya nini katika karne hii? Kwa nini msingepeleka yale mapicha na ma video ya namna raia walivyouawa kikatili huko mitaani kipindi cha uchaguzi wa mwaka jana?

Viongozi hebu kuweni serious na mambo makubwa ya nchi.

This level of DESPERATION is humiliating our beautiful country.

vaticannewsit-20260131-0003.jpg
vaticannewsit-20260131-0004.jpg
vaticannewsit-20260131-0002.jpg
vaticannewsit-20260131-0001.jpg
 
Kama sio wao wanatumia wakatoliki feki walifata nin huko na hawajaitwa yaan wameamua kwenda kujishtaki wenyewe kwa papa. Mimi ningelikua papa ningeweka bible kando nichukue viboko niwacharaze hadi wakome. Mwana kulitafta mwana ku......
 
Hawa viongozi wetu wanalitia aibu Taifa sana. Hivi hawakujua kabisa kwamba kabla Papa hajaonana nao tayari alikuwa na full CV zao?

Ama ni katika kujikombakomba ili muonekane hamna tatizo na Katoliki na mmepata elimu zenu kwenye taasisi zao!

Halafu hawa mapicha picha ya kuchanganya mchanga na Tanganyika na Zanzibar mnayapeleka kwa Papa ya nini katika karne hii? Kwa nini msingepeleka yale mapicha na ma video ya namna raia walivyouawa kikatili huko mitaani kipindi cha uchaguzi wa mwaka jana?

Viongozi hebu kuweni serious na mambo makubwa ya nchi.

This level of DESPERATION is humiliating our beautiful country.

View attachment 3536905

View attachment 3536906

View attachment 3536912View attachment 3536913View attachment 3536914View attachment 3536915

Kama hili yai linatolewa na professor mwenye GPA ya 4.9 katika Sheria, basi kweli tunasafari ndefu sana ya kujifunza kuongea kiingereza
 
Amesema ni mwanafunzi wa St Augustine, sio kwamba amesoma St Augustine University. St Augustine ni moja ya philosophers.
 
"Hii dawa kule Madagascar anagawa rais mwenyewe mitaani , tutaipeleka maabara ndipo watanzania waanze kupewa watumie" -2020

Hadi leo ni miaka 6 matapeli yalitumia ndege ya umma kwenda kuchukua juice Madagascar yakaona yaifiche store.
images (32).jpeg
 
Halafu hawa mapicha picha ya kuchanganya mchanga na Tanganyika na Zanzibar mnayapeleka kwa Papa ya nini katika karne hii? Kwa nini msingepeleka yale mapicha na ma video ya namna raia walivyouawa kikatili huko mitaani kipindi cha uchaguzi wa mwaka jana😂
 
Hawa viongozi wetu wanalitia aibu Taifa sana. Hivi hawakujua kabisa kwamba kabla Papa hajaonana nao tayari alikuwa na full CV zao?
 
Hawa viongozi wetu wanalitia aibu Taifa sana. Hivi hawakujua kabisa kwamba kabla Papa hajaonana nao tayari alikuwa na full CV zao?

Ama ni katika kujikombakomba ili muonekane hamna tatizo na Katoliki na mmepata elimu zenu kwenye taasisi zao!

Halafu hawa mapicha picha ya kuchanganya mchanga na Tanganyika na Zanzibar mnayapeleka kwa Papa ya nini katika karne hii? Kwa nini msingepeleka yale mapicha na ma video ya namna raia walivyouawa kikatili huko mitaani kipindi cha uchaguzi wa mwaka jana?

Viongozi hebu kuweni serious na mambo makubwa ya nchi.

This level of DESPERATION is humiliating our beautiful country.

View attachment 3536905

View attachment 3536906

View attachment 3536912View attachment 3536913View attachment 3536914View attachment 3536915
 
Hawa viongozi wetu wanalitia aibu Taifa sana. Hivi hawakujua kabisa kwamba kabla Papa hajaonana nao tayari alikuwa na full CV zao?

Ama ni katika kujikombakomba ili muonekane hamna tatizo na Katoliki na mmepata elimu zenu kwenye taasisi zao!

Halafu hawa mapicha picha ya kuchanganya mchanga na Tanganyika na Zanzibar mnayapeleka kwa Papa ya nini katika karne hii? Kwa nini msingepeleka yale mapicha na ma video ya namna raia walivyouawa kikatili huko mitaani kipindi cha uchaguzi wa mwaka jana?

Viongozi hebu kuweni serious na mambo makubwa ya nchi.

This level of DESPERATION is humiliating our beautiful country.

View attachment 3536905

View attachment 3536906

View attachment 3536912View attachment 3536913View attachment 3536914View attachment 3536915
Hahahah nimeishia kwenye Heading Tu
 
Kuna vitu vinashangaza na kutia hata kinyaa cha aibu.. Hivi washauri wa hawa watu ni akina nani?
 
Back
Top Bottom