Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,970
Wakati dunia wanasaka kuwe na Amani hapa Tanzania baadhi ya watu wanaichezea kwa sababu zao binafsi.
Amani katika nchi sio kitu cha kuchezea, Vurugu ikitokea hakuna hata mmoja atakaye salimika.
Amani katika nchi inajengwa.
Tumekaa kwa mda mrefu hatujui vita, hatujui mabomu, hatujui bunduki lakini watu wachache wanataka kuvurga Amani ya nchi yetu kwa kisingizio cha siasa.
Wananchi tuweni macho na mambo haya yanayotokea kwa wanasiasa, ni kwa faida yao wenyewe.
Hakika kuna mkono wa mtu nyuma yake, watu wengi sana hawapendi kuona sisi watanzania tuko na Amani.
ONYO:
Mnafurahia tu matangazo ya uasi yanayotolewa na viongozi wa siasa. Sio kwamba sisi tunafaa sana "NI MUNGU PEKEE AMETUPA AMANI" Tuna beep Mungu kwa kuichezea amani hakika atatupigia tusipojirekebisha
Yeye hana hasara:
Fikiria kuhusu ndugu zako.
Fikiria kuhusu watoto wako
Fikiria kuhusu wazazi wako.
Fikiria kuhusu Marafiki zako.
Fikiria kuhusu mke wako.
Fikiria Kuhusu mme wako.
Fikiria kuhusu vitu vyako.
Utakapo kuwa mkimbizi.
Hapa tunafurahi tu lakini kikinuka hakuna wa kusalimika. Nyie leteni mchezo tu.
Amani hainunuliwi, Amani sio ya kuchezea kwa mambo ya kijinga kijinga.