Kauli ya Mwigulu katika JF juu ya BRIGADE nadhani imefanywa makusudi kama ilivyofanywa huko nyuma. Tunakumbuka jinsi ilivyobadirishwa maana ya ''impotent''. Mnakumbuka yale ya Mjengoni? Kuna Mbunge alisema ''The presidency is impotent'' ikawa shida kweli kweli. Ikasemwa Mbunge kamtukana Rais kamwambia eti Rais ni Nanihiiii. Lakini hivi ni kweli walikuwa hawajui kuwa neno ''impotent'' lina maana nyingine kuwa, ''without the strength or power to do anything effective or helpful''. Walijua sana, lakini ikatengenezwa case isiyo miguu wala kichwa. Kutimiza lengo lao la kisiasa. Dirty politics!!! Safari hii pia imekuwa shida pia na neno ''brigade''. Mwigulu akaja na maana yake. Anasema brigade lazima iwe na maana ya kijeshi. Hivyo CDM wanataka kuanzisha jeshi!!!! Mwigulu anajua maana moja tu ya brigade??? Napenda nimpe maana nyingine ya ''brigade'' kama nilivyofanya kwa neno ''impotent''. Brigade ukitumia kama noun....'' a group of people organized to achieve a particular goal, normally characterized by a common trait such as attitude, background, appearance or activities'' BUt if you use it as a verb... to brigade is '' to organize a group of people in order to achieve a particular goal.''
Sasa wewe Mchemba.... kwa nini unakazania maana unayotaka wewe tu ili utimize malengo yako? Kama kiingereza ni shida kwa nini hamtazami kamusi? Au ndiyo hii ya kukurupuka na kuandika katika mitandao na kuaibisha Tanzania kama hii post iliyowekwa katika JF kuhusu CCM na kiingereza KIBOVU na KICHOVU... Aibu sana. Mmetuaibisha Watanzania wote.