KIBAHA ONE
Member
- Jan 16, 2013
- 35
- 22
Wanabodi wa JF
Nimeamua leo kumueleza Mhe, Zito Zuberi Kabwe Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA (Bara), kuwa kuna watu walio karibu nae wanaendelea kulipaka matope jina lake. Watu hao wakiongozwa na Habibu Mchange ambaye ni Mwenyekiti wa Mkoa wa Pwani wa Chama cha CHAUMA, wanaendelea kuwaeleza wafuasi wao kuwa eti Mhe Zito na Mhe David Kafulila mmeshiriki kikamilifu kuanzisha Chama hicho na pia hata Nembo ya CHAUMA (Ngumi) eti wewe Mhe Zito ndio uliyoipendekeza. Mimi nashindwa kuelewa mantiki ya kauli hizo. Kibaha One inapenda kukutahadharisha na hao wanaojiita marafiki zako wakati wanakuhujumu au kukusababishia matatizo na Viongozi, Wanachama na Wafuasi wa CHADEMA. Kaa mbali sana nao.