Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kama ni SIASA basi nchi yetu inaongozwa kwa mihemko sana au tuliowapa uongozi hawafikirii vyema kuhusu wananchi. Kama ni Inshu critical kumtandao au shida basi wanapaswa kuitatua haraka sana...
27 Reactions
108 Replies
6K Views
Imefika miaka mitatu tangu viongozi wa dunia wajitolee kutimiza moja ya malengo yenye ujasiri mkubwa katika historia ya afya ya umma duniani: kufanikisha upatikanaji wa huduma za afya kwa wote...
0 Reactions
3 Replies
405 Views
Busara ni zawadi kutoka kwa Mungu wa mbinguni Nadhani busara za Malecela zingehitajika wakati huu japo ni Mzee sana Ahsanteni sana
0 Reactions
4 Replies
258 Views
Mwenyekiti wa CHASO (CHADEMA Student Organization) mkoa wa Dar es Salaam Martin Samson Abduli ametoa tamko kwa waandishi wa habari akilalamikia mwenendo wa Rais wa TAHILISO Geofrey Kiliba akidai...
1 Reactions
0 Replies
333 Views
Sitaki kuongeza neno wala kupunguza neno, hiyo ni taarifa kutoka miongoni mwa wananchi waliosema wazi kuwa, alichokisema Pole Pole wamekielewa vizuri. Kukumbusha tu, Pole Pole alisema kuwa...
7 Reactions
24 Replies
1K Views
Salaam, Ikiwa tuhuma za Polepole Zina ukweli, basi chama kifanye utafiiti wake, maana wananchi wa kawaida ambao hawakujiandikisha, wameanza uchunguzi wao binafsi kumthibitishia tuhuma hizi...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Matokea ya uchaguzi jimbo la Busanda, yameanza kutoka ambako katika miji mikuu yote ya jimbo hilo, ni Chadcema inaongoza na kuiacha CCM kwa mbali wakati huko vijijini ni CCM inaongoza. Shamra...
0 Reactions
526 Replies
57K Views
Hii Hoja, ni Hoja ya kimantiki sana na Nzito ambayo hata MTU asokua na Elimu ataiamini na kuikubali haraka. Ifanyeni Hoja hii iwe kubwaaaaaa sana ,ikishakua Kubwa, inaaminika kirahisi...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Serikali imesema ubinafsishaji wa Kampuni ya Airtel uligubikwa na ukiukwaji wa heria, Kanuni na Taratibu. Mazungumzo kufanyika ili nchi ipate haki yake. > Kwasasa Serikali inamiliki 40% ya hisa...
5 Reactions
98 Replies
13K Views
Wanabodi, Hata kusipofanyika reforms, uchaguzi wa 2025 CHADEMA ina bonge la fursa!, ila masikini Chadema, they are just too blind to see!, hawajitambui! No election ni utopia!, acheni kucheza...
10 Reactions
119 Replies
5K Views
Tanzania One (TO), mwandishi wa vitabu na motivation speaker Nguli duniani Joel Nanauka ameibuka mshindi katika kura za maoni CCM jimbo la Mtwara Mjini Soma Pia: Joel Nanauka kumrithi Kinana CCM
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Dada yetu Kipenzi, pole sana sana Kifupi mimi ni mdogo wako fulani Ukijiandaa kugombea Kawe Ubunge nilikuonya Wajumbe usiwaamini kabisa kabisa wanakukula mpaka mifupa wakikupa moyo Haitoshi...
2 Reactions
6 Replies
743 Views
Waliopigwa chini licha ya Kuaminiwa na wajumbe. 1. Ummy Mwalimu - Tanga. 2. Stanslaus Mabula - Nyamagana 3. Shaban Mrutu - Tabora Mjini 4. Malecela - Dodoma. 5. Luqman Merhab - Mufindi Kastazini...
19 Reactions
124 Replies
10K Views
Mh. Salvatore Mabeyo hongera sana, kama si wewe tusingefika hapa tulipo, nikuombe kwa muda utakaopewa na Mungu wa kuishi uandike kitabu na ueleze yote uliyoifanyia Tanganyika. Kutoka kwenye Uvungu...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Ndugu Polepole ana hekima kubwa sana hata Mimi sina,alianza kuongea kama mwezi umepita kaeleza kwa kina kaonana na wasaidizi wa Rais wote kawaambia yoote,kaonana na Wakurugenzi wa Usalama wa Taifa...
6 Reactions
9 Replies
932 Views
Tamko https://www.youtube.com/live/zTiG8A6xBUk?si=0TkwcRajP0kn483k Tamko la Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Unguja Kuhusu Msimamo wa Kususia uchaguzi Bila Mageuzi na Tahadhari za Madhara ya...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwanza uungwana ni vitendo.. Na kujishusha ni kuonesha ukomavu wa akili.. Lakini vilevile kutubu ni kuonesha majuto na kujirudi kulikojaa tafakuri Lakini yote hayo huwa na maana ama hukosa maana...
24 Reactions
39 Replies
2K Views
Ndugu wa jeshi la polisi. Nimeona hii kashfa ya dogo janja msanii kumpiga mwanafunzi. Imenihuzunisha sana sana. Awali ya yote chunguzeni. Uhaalali wa hio siila kwa dogo janja..anamiliki...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Tuliwambia siku nyingi kuwa tabia ya CCM kutaka kuua upinzani ndiyo itakuwa chanzo cha kifo chake. Duniani mpaka mbinguni upinzani ni muhimu. Ndiyo maana hata Mungu alimuacha shetani aendelee...
0 Reactions
0 Replies
207 Views
Watanzania mnatumika na mtaendelea kutumika Sana. Hawa wote sijui Heche , Sijui Lissu, Sijui Polepole , sijui Ccm . Ni kupoteza Muda . John Heche Kaka yake wa Damu ni Mwanasheria ambaye yupo...
0 Reactions
1 Replies
172 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…