Tumemsikia rais Samia akionya kuhusu mapandikizi ya uongozi kwa uwezeshaji wa watu wa nje.
Kauli hii ni pana na kubwa mno katika diplomasia ya kisiasa.
Rais Samia anajibu gani kuhusu mapandikizi...
Nyie Watanzania wenzangu mnaopotosha umma mkiwa ughaibuni jueni kuwa sera za kimataifa kila siku huwa zinabadilika ipo siku mtarudishwa nchini kwa lazima,
Amani yetu ni mhimu sana, tumeikuta...
Mwenyekiti wa CCM Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kilichoketi leo Agosti 21,2025 Jijini Dodoma kwa ajili ya kufanya uteuzi wa Wagombea Ubunge wa...
Wote wanaotumia hii Kauli, nawaweka kwenye Kundi la Watu wapumbavu, wahuni, wezi wa Nchi hii .
Hoja zao ni zile zile
Amani ikipotea tutaseka.
Tuilinde Aman yetu .
Kuna Maisha baada ya Uchaguzi...
Habari wakuu,, Salamu ki ufupi tuu,
Leo nilienda kwenye Ibada katika kanisa la arise and shine, Kwa Imani yangu Mimi binafsi ninamkubali sana Tena sana huyu bwana Bulldoza mwamposa.( Kila MTU na...
Historia ya Nchi yetu inaonyesha kuwa Uhuru wetu uliletwa kwenye Ibada kama hizi, au makongamano ya Dini. Jana tu Kanisa Katoliki lilikamilisha Mfungo wiki nzima kuombea Haki.
Naomba kwa leo watu...
Majina ya waliokuwa wabunge wa CCM wenye majina makubwa, kama January's Makamba, Ummy Mwalimu, n.k wote wangehamia CHADEMA. Na mwaka huu CCM ingekufa kifo kibaya sana.
Ccm imebadili Katibu mkuu, imebadili Katibu MWENYEZI, imebadili Makamu Mwenyekiti Bara
Je Bado haijamwaga oili mpaka ABADILISHWE Samia ndo.kumwagwa kwa oil kumefanyika Sawa sawa?
Pole pole nijibu
Kiukweli nasikitika sana kuona kadri miaka inavyoenda Jukwaa hili linazidi kuwapoteza watu ambao ni Great Thinkers na badala yake Jukwaa kwa sasa lmejaa watoto ambao ata kung'amua michezo kama hii...
Kwa sisi Wanasheria Kanuni na Sheria Kuu za Ushahidi zinasema Ushahidi usiotiliwa mashaka na unaopaswa kuzingatiwa moja kwa moja na Mahakama au Mfanya maamuzi ni Ushahidi wa Mtu aliyetenda kitendo...
Wanabodi,
Tafsiri ya Neno Ujinga.
Naomba nianze na tafsiri ya neno mjinga maana watu humu hawakawii kusingizia watu kuwa tumetukana watu humu!. Kwa mujibu wa Kamusi ya Kiswahili Sanifu
neno...
Mchungaji Matsahi amesema tangu afike Dar miaka ya mwishoni ya 1990s ndoto yake ilikuwa kumiliki nyumba Masaki kwa uwezo wa nguvu za Mungu na Hatimaye ndoto yake imetimia
Mchungaji Matsahi...
Wasalaam.
Hawa ni wale viongozi wenye tabia za kimalaya malaya kwa mujibu wa nukuu ya mwl nyerere. Watanzania wote wanalia kutokana na mifumo mibovu ya uchaguzi lakini cha kushangaza huyu bwana...
Gazeti la Mwananchi katika habari yake ya leo inayohusu list ya walioteuliwa kugombea ubunge kupitia CCM mkoa wa Mwanza limeandika mgombea jimbo la Morogoro ni Kafiti, hilo jimbo liko wapi kule...
No Reforms ,No Election unazidi Kutia watu matumbo joto.
Inasemekana, MFUMO unataka kuwalazimisha baadhi ya WANACCM wale wanaoonekana Timu Magufuli , Kuhamia Chama chochote Cha Upinzani , wawape...
Kumekuwepo na taarifa za uongo na upotoshaji zinazozagaa kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa:
Mfumo wa Data za Uchaguzi unaotumiwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) umeunganishwa na...
CCM ni taasisi kubwa yenye uzoefu mkubwa na ukomavu kisiasa hivyo huendesha mambo yake kisayansi. Wahusika wajirekebishe madhaifu yao waache kulalamika na wajiandae kuwaunga mkono wenzao waliteuliwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.