Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mh. Tindu Lisu jumapili iliyopita alikuwa mtaani kwetu, Tegeta. Mkutano alioufanya ulitisha, maudhurio utadhani mgombea urais. Mh. Mdee mbunge wa Kawe CHADEMA, M.kiti wa jimbo, mhenezi, katibu...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
  • Closed
Wakuu;Naona wengi wenu humu jamvini mmekuwa mkishangaa kwamba " Mbona vielelezo vingi vinaonesha wanaoendesha siasa za udini nchini ni CCM/CUF Lakini wanao laumiwa ni CHADEMA?"Leo nimeamua...
8 Reactions
46 Replies
4K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeamua kuachana na kuwania umeya wa Jiji na badala yake kimemwomba Meya, Gaudence Lyimo (CCM), atende haki. Katibu wa Kanda ya Kaskazini wa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Mimi siyo muumini wa chama chochote cha siasa, lakini kwa utashi wangu wa maono, ni dhahiri kuwa mwaka 2015 CHADEMA itachukua dola.hivyo basi ni vyema wanachama wa chama hiki wakaanza kujipanga...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
HAKUNA ulevi mzuri; ulevi ni ulevi tu. Uwe ulevi wa wanzuki, tembo, ulanzi au konyagi ulevi ni ulevi tu. Na ulevi wote una sifa moja kubwa – unapoteza uwezo wa mtu kujitawala na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Akizungumza na waandishi wa habari baada ya Obama kuhutubia pale Ubungo, Waziri Sospeter Muhongo alisema kwamba, Vibali vya kufulia umeme nchini Tanzania vinapatikana chini ya masaa mawili...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
MUHIMU: Ofisi ya Mbunge wa Ubungo inapenda kuwataarifu Mawakala wote wa MABADILIKO nchini kuwa tarehe 21 Julai, 2013 siku ya jumapili kuanzia saa 8 Mchana kutakuwa na MKUTANO MKUBWA WA HADHARA...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Profesa Sospeter Muhongo Wasomi na wadau mbalimbali nchini wameshangazwa na tamko la serikali kupitia Wizara ya Nishati na Madini ya kutaka kuuza umeme nje ya nchi wakati Watanzania wengi hawana...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
JUL192013 Na Swahili TV Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania Mheshimiwa Edward Lowassa, amemsifia Rais Jakaya Kikwete kuwa ameweza kuifanya Tanzania kupata heshima katika ulingo wa kimataifa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Ndg wana jamvi kwanza nianze kwa kuwatakia ndugu zangu wote walio kwenye mfungo ramadhani njema,sisi sote ni ndugu na kwa wale ambao hamjafunga muonyeshe ushirikiano kwa wenzenu ili tudumishe...
0 Reactions
1 Replies
946 Views
Katika hatua inayoashiria kuchoshwa na utekelezaji usioridhisha wa miradi, Mbunge wa Jimbo la Bumbuli, wilayani Lushoto, January Makamba amekataa kuupokea mradi wa maji uliojengwa katika...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
WAZIRI wa Fedha, William Mgimwa,amesisitiza uamuzi wa Serikali kuendelea kutoza Sh 1,000 kwa kila mwezi kwa laini ya simu, licha ya kampuni za simu na wanasiasa kupinga. Akizungumza na gazeti...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Mkurugenzi Mtendaji wa LHRC, Dk. Hellen Kijo-Bisimba Mashirika yasiyokuwa ya kiserikaliyakiongozwa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) yameanza kuchambua rasimu ya katiba ili kupata...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Bila shaka hii itakuwa ni thread yangu ya pili nikiiandika kuhusu huyu Mkongwe wa "Siasa za Ujamaa", mzee Mangula. Napenda kumuandika kutokana na kufurahishwa kwangu na jinsi alivyoweza kuendesha...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Salaam, Ipo hv: Kwanza CHADEMA imewajengea ujasiri wa ajabu wanaArusha katika kuipigania nchi yao, jikumbushe nukuu za akina lema katika hotuba zake akiwa bungeni na hata kwenye majukwaa mengine...
8 Reactions
54 Replies
5K Views
Serikali imetoa waraka kwa watumishi wa umma unaotoa maelekezo kwa watumishi kuwa wana hiari ya kuchagua kujiunga na vyama vya wafanyakazi. Mfano CWT sio lazima wanachama wake wawe ni walimu...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Salaam wanaJF, Nimepita leo katika kampuni ya IPP media nikapata habari ya uwepo wa Mwampamba wa CCM katika kipindi cha Hot Mix leo. Mwenye taarifa sahihi atuambie kwa sababu Mwampamba ana Ban...
2 Reactions
275 Replies
16K Views
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), Dk. Terezya Huvisa, akizungumza na waandishi wa habariofisini kwake jijini Dar es Salaam janakuhusu kampeni ya usafi wa miji na majiji...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe,alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Stendi ya Malori, eneo la Majengo, mjini Songea, mkoani Ruvuma juzi. Chama cha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mkumbwa Ally has been widely misquoted by anti-kagame propagandists, making war cries! Actually Mr Ally said that there was no reason for the two countries to go to war, talking to Tanzania Daima...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…