Highlander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 3,092
- 1,077
Mwezi Mei mwaka jana Mke wa Kamanda Mchapakazi Dr. Wilbrod Slaa, Mama Josephine Mushumbuzi alifika Tukuyu. Aliahidi Kumleta Mumewe kuja kuongea na WanaRungwe hapa Tukuyu. Picha ya mwanzo inaonesha siku ya Mkutano ule wa ahadi.

Jana Mbalizi kumezizima Chadema ilipowasha moto wa mageuzi. Sisi wakazi wa Tukuyu tunawaomba msitusahau.
Hata hivyo tunapongeza WanaMbeya Vijijini kwa Mwitikio huu hapa chini wameonesha jana:
View attachment 103490

Jana Mbalizi kumezizima Chadema ilipowasha moto wa mageuzi. Sisi wakazi wa Tukuyu tunawaomba msitusahau.
Wasiache kufika Rungwe kupiga mkutano mmoja pale Tukuyu mjini manake huko ni nyumbani kwa mmoja wa waasisi wa CDM marehemu Brown Ngwilulupi.Vijana kwa wazee wanahitaji sana elimu ya uraia na wanajitambua sana isipokuwa mwongozo nd'o unakosekana.
Hata hivyo tunapongeza WanaMbeya Vijijini kwa Mwitikio huu hapa chini wameonesha jana:
View attachment 103490
