Green Guard Special Forces?

Green Guard Special Forces?

Highlander

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2012
Posts
3,092
Reaction score
1,077
Wadau hii picha baada ya kuiona sijaielewa; kama kuna mtu anaielewa ningeshukuru kujuzwa. Hapa ni mafunzo ya ukakamavu kule kwenye mafunzo ya ulinzi wa CCM Green Guard? au kunani hasa hapa.... kama ndo haya wanafunzwa bas naona tutakwisha.... au kunani hasa hapa.

Green Guard Special Froeces Trainig.jpg
 
Hao ni red brigade wamevaa nguo za kijani ili wasijulikane
 
Red brigade ni genge la wauwaji

Umechanganya mada Mkuu. Tunajadili Green Guard hawa hapa chini:

Hii picha baada ya kuiona sijaielewa; kama kuna mtu anaielewa ningeshukuru kujuzwa. Hapa ni mafunzo ya ukakamavu kule kwenye mafunzo ya ulinzi wa CCM Green Guard? au kunani hasa hapa.... kama ndo haya wanafunzwa bas naona tutakwisha.... au kunani hasa hapa.

View attachment 103367
 
Wadau hii picha baada ya kuiona sijaielewa; kama kuna mtu anaielewa ningeshukuru kujuzwa. Hapa ni mafunzo ya ukakamavu kule kwenye mafunzo ya ulinzi wa CCM Green Guard? au kunani hasa hapa.... kama ndo haya wanafunzwa bas naona tutakwisha.... au kunani hasa hapa.

View attachment 103367

hao watakuwa magaidi wa red brigade wamevaa nguo za wapinzani wao ili kuwachafua. Lakini ukweli ni kwamba red brigade ndio wauwaji wenyewe hasaa.
 
hizi wanajaifunza ni mbinu za hali ya juu za medani, kijana anatakiwa afukiwe kichwa chote na akae bila kupata hewa kwa muda wa nusu saa, hii itasaidia ku-act kama amezirai in case atatekwa na maadui.

kijana aliyefuzu zoezi hili anaweza kukaa ambako hamna hewa ya oxygen kwa muda wa dk 30 na zaidi bila kudhurika. kama ndani ya jokofu, darini, shimo la choo, kwenye chemba, kwenye boot ya gari, kwenye mfuko wa naironi nk
 
hebu watambue kwa majina tujue ni Green Guard kutoka kambi ipi hasa....
manake watakuwa wanajulikana kabisa hawa.
 
Umechanganya mada Mkuu. Tunajadili Green Guard hawa hapa chini:

Hii picha baada ya kuiona sijaielewa; kama kuna mtu anaielewa ningeshukuru kujuzwa. Hapa ni mafunzo ya ukakamavu kule kwenye mafunzo ya ulinzi wa CCM Green Guard? au kunani hasa hapa.... kama ndo haya wanafunzwa bas naona tutakwisha.... au kunani hasa hapa.

View attachment 103367

red brigade walimuua waziri mkuu wa italy, wakaua watu zaidi ya ef 1 ikabidi watafutwe mmoja baada ya mwingine. Sasa hawa ndio wenyewe hawa
 
hizi wanajaifunza ni mbinu za hali ya juu za medani, kijana anatakiwa afukiwe kichwa chote na akae bila kupata hewa kwa muda wa nusu saa, hii itasaidia ku-act kama amezirai in case atatekwa na maadui.

kijana aliyefuzu zoezi hili anaweza kukaa ambako hamna hewa ya oxygen kwa muda wa dk 30 na zaidi bila kudhurika. kama ndani ya jokofu, darini, shimo la choo, kwenye chemba, kwenye boot ya gari, kwenye mfuko wa naironi nk

View attachment 103367

Mungu wangu ee; kwa hiyo hapo ccm inafundisha vijana wake ugaidi. si ndiyo ee? Kwa hiyo tuna ushahidi kwamba ccm inafundisha watu ugaidi kwenye makambi yao. Nadhani tumeshaafikiana katika hili. CCM inafundisha vijana wake ugaidi.
 
Aisee kama mafunzo yenyewe ndo haya hatutapona!!wanajifukia na kufufuka kama mazombi?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
red brigade walimuua waziri mkuu wa italy, wakaua watu zaidi ya ef 1 ikabidi watafutwe mmoja baada ya mwingine. Sasa hawa ndio wenyewe hawa

View attachment 103367

Wewe ndugu yangu Ifweero naona una tatizo la Macho. Red ni rangi nyekundu. Mbona mimi hapo naona rangi ya Kijani? Hawa ni Green Guard wanasomea ugaidi kwenye kambi la CCM.
 
hapo hakuna mafunzo yoyote mbona mnakuwa wachochezi.hapo jamaa wapo katika maonyesho kama ya mazingaombwe.ndo mana kuna watoto pembeni.kweli elimu hamna lakini hata picha inawashinda.
 
attachment.php

Wakimaliza hayo mafunzo wanapewa na vyeti. Tendwa upo?!!!!
 
hao watakuwa magaidi wa red brigade wamevaa nguo za wapinzani wao ili kuwachafua. Lakini ukweli ni kwamba red brigade ndio wauwaji wenyewe hasaa.
Ni kweli kabisa maana wamemchukua hadi Ramadhan Ighondu wanamtumia kuwatoa watu kucha na meno
 
hapo hakuna mafunzo yoyote mbona mnakuwa wachochezi.hapo jamaa wapo katika maonyesho kama ya mazingaombwe.ndo mana kuna watoto pembeni.kweli elimu hamna lakini hata picha inawashinda.
Mbona kwenye mlolongo wa mafunzo yao hakuna neno mazingaombwe ndo kwanza nakusikia wewe.
 
Back
Top Bottom