Wadau nionavyo mm tunakoelekea ni kubaya tena tusipokuwa makini tutakwisha maisha yanazidi kupanda tu itafikia mahali watu watalipwa mshahara milioni lakini bado hautaweza kukidhi mahitaji,maisha yanaenda kasi sana

Anza kwa kutoa maoni yako kwanza unashauri nini kifanyike kunusuru hali hiyo ya ugumu wa maisha ndo wengine kuendelea na mjadala ili kukamilisha thread yako.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.