Majanga ya Kurasini

Majanga ya Kurasini

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,744
Reaction score
290,594
Mchana huu M/kiti wa serikali ya mtaa wa Kurasini Mivinjeni ambaye pia ni kada wa CCM MASHAKA MGAYA, anagawa NOTICE YA SIKU SABA kwa wakazi hao kuhama kwenye nyumba zao kabla TINGATINGA halijatumika kuwafurumusha !

Ikumbukwe kwamba Wizara ya ardhi kupitia Mh .Tibaijuka ilisitisha mpango huo mpaka itakapotangazwa tena , Baada ya kubaini magumashi kibao.

SWALI la kujiuliza, WHO IS BEHIND THIS ?
 
mchana huu M/kiti wa serikali ya mtaa wa Kurasini Mivinjeni ambaye pia ni kada wa ccm MASHAKA MGAYA, anagawa NOTICE YA SIKU SABA kwa wakazi hao kuhama kwenye nyumba zao kabla TINGATINGA halijatumika kuwafurumusha ! Ikumbukwe kwamba Wizara ya ardhi kupitia Mh .Tibaijuka ilisitisha mpango huo mpaka itakapotangazwa tena , Baada ya kubaini magumashi kibao , SWALI la kujiuliza , WHO IS BEHIND THIS ?

Huyo mwenyekiti vipi kwani watu wameshalipwa fedha zao au kalewa huyo
 
Taarifa za kiuchunguzi zinadai kuwa kuna MWARABU mmoja mwenye MALORI YA MIZIGO aliyeko jirani na eneo hilo ametamani kuongeza eneo la kupaki magari yake , hivyo ameweka mzigo kwenye meza ya halmashauri ya Temeke kiasi cha kuwachanganya hadi kupuuza amri ya wizara . CC Anna Tibaijuka .
 
Ukivumiliaaaaa.. Mbeelee kweupeee..Ukivumiliaaaaa .. Mbona mbele kweupee...2015 iko Kibaha kwa watokap Mikoa ya Kaskaz..na watokao Kus, iko Kibiti, tuvute subira
 
Taarifa za kiuchunguzi zinadai kuwa kuna MWARABU mmoja mwenye MALORI YA MIZIGO aliyeko jirani na eneo hilo ametamani kuongeza eneo la kupaki magari yake , hivyo ameweka mzigo kwenye meza ya halmashauri ya Temeke kiasi cha kuwachanganya hadi kupuuza amri ya wizara . CC Anna Tibaijuka .
nchi kiboko kwa rushwa!! na wasipokuwa makini watavunjiwa kweli maana mzigo upo mifukoni mwa watu tayari.
 
Mchana huu M/kiti wa
serikali ya mtaa wa Kurasini Mivinjeni ambaye pia ni kada wa CCM
MASHAKA MGAYA, anagawa NOTICE YA SIKU SABA kwa wakazi hao kuhama kwenye
nyumba zao kabla TINGATINGA halijatumika kuwafurumusha !

Ikumbukwe kwamba Wizara ya ardhi kupitia Mh .Tibaijuka ilisitisha mpango
huo mpaka itakapotangazwa tena , Baada ya kubaini magumashi kibao.

SWALI la kujiuliza, WHO IS BEHIND THIS ?

kama hujui kitu kaa kimya
 
Taarifa za kiuchunguzi
zinadai kuwa kuna MWARABU mmoja mwenye MALORI YA MIZIGO aliyeko jirani
na eneo hilo ametamani kuongeza eneo la kupaki magari yake , hivyo
ameweka mzigo kwenye meza ya halmashauri ya Temeke kiasi cha
kuwachanganya hadi kupuuza amri ya wizara . CC Anna Tibaijuka .

waarabu walikukosea nini? mbonq wachina ambao wamepewa mkataba wa kujenga kituo chao eneo hilo huwataji. au ndo umbumbumbu wa viongozi wenu umeenea mpaka kwa wafuasi
 
waarabu walikukosea nini? mbonq wachina ambao wamepewa mkataba wa kujenga kituo chao eneo hilo huwataji. au ndo umbumbumbu wa viongozi wenu umeenea mpaka kwa wafuasi

uliza kwanza kabla ya kukurupuka , hatuzungumzii sehemu ambayo hawajalipwa , tunachozungumzia ni mivinjeni yenye mgogoro , ile inayotazamana na kota za bandari ambazo hata hivyo walishauziana kifisadi , mivinjeni ile iliyopakana na matenki ya mafuta , ile iliyokaribu na OILcom , Poor Lizabon
 
wale jamaa wa mivinjeni walishakula hela na wengine walishahama na kubomoa nyumba zao wenyewe. hao wanao tangaziwa hazizidi nyumba 40. wanadai hawajalidhika na malipo. wanasema wamefungua kesi mahakamani. so sijajua kama kesi imeisha. mia
 
Ni kuwapa pole tu wahanga na kuwatakia maisha mema wanakoenda kuhamia yote ni maisha tu....
 
Wakati mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwa busy kwa mambo ya maendeleo, mwenyekiti wa CHADEMA Rorya, Bw. Godfrey Masirori yeye alikuwa busy kwa uzinzi.

CDM ni janga la kitaifa.
 
Kama umelipwa na ukakubaliana kwanini usisepe?
 
Tibaijuka kwapani????
Mama anatibaijuka anaweza kulitolea hili ufafanuzi wa kina, hata kama hata jibu hapa leo lakini wa sababu anapita pita humu nnaamini wahusika watashughulikiwa tatizo lao, maana viongozi wengi wa chini siwaamini wakipewa hela kidogo huchanganyikiwa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom