Jamani muwe mnakamikisha habari, wapi South Afrika kwa mmiliki wa Home Shopping Centre au Arusha kwa sheikh aliyemwagiwa tindikali??
JK amesimama kwa ADABU mbele ya mfadhili wake mkuu, unaweza kuta hata amemuamkia "shikamoo boss"....
Jamani muwe mnakamikisha habari, wapi South Afrika kwa mmiliki wa Home Shopping Centre au Arusha kwa sheikh aliyemwagiwa tindikali??
South Africa mzee, lakini alienda kuokoa jahazi la Riz na Mwiru akaona pia amuone swahiba wake hospital alikolazwa. Si unajua alienda kinyemela
Anamuhakikishia "Tutamsaka aliyekutenda hadi tumtie mikononi na tutamtoa chaku na nome"
You are absolutely right! Lakini pia si kwamba JK na huyo bwana ni bisiness partners tu bali ni genge la matapeli wanaoimaliza nchi hii kwa ufisadi!!Kamtembelea business partner wa familia ya First Family ya Tz!!