Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Inapendekezwa kuwa wale 'Vijana Wakakamavu Wajasiriamali wa CCM' almaarufu kama Green Guards wasivae tena sare zao zinazofanana na zile za Jeshi la Polisi. Mapendekezo hayo yanatoka katika Kitengo...
8 Reactions
23 Replies
3K Views
Hawa jamaa wanatutolea mikopo inayoinyonya nchi yetu. Wanatutengenezea vitu duni kama mabarabara, bidhaa feki na kuchochoea rushwa ndani ya nchi yetu. Sasa Rushwa walizotoa ndio chimbuko la Vurugu...
3 Reactions
32 Replies
4K Views
Jana katika kuhitimisha mjadala juu ya amani uliofanyika katika Chuo kikuu cha Dar es Salaam, Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mh.Nchimbi; Miongoni mwa mambo mengine; alikubali kuwa Jeshi la...
6 Reactions
40 Replies
4K Views
RUSHWA NI ADUI WA HAKI MWENYEKITI wa kampuni za IPP, Reginald Mengi ametoboa siri kuwa hakuna mfanyabiashara wa Tanzania aliyefanikiwa katika biashara kubwa kwa kusaidiwa na serikali bila ya kutoa...
5 Reactions
135 Replies
9K Views
Kwa muda mrefu sasa, nimevumilia sana lakini sasa imenibidi nifunguke. Kwanza, mwaka 2010 kulikuwa na jitihada mbalimbali za kuitisha mdahalo uliotakiwa kurushwa live kupitia runinga kusudi...
10 Reactions
117 Replies
11K Views
Wakati wa Uongozi wake Mzee Youfusu Makamba akiwa anawahutubia maelfu ya wa Tanzania aliwahi kuwambia wananchi ukitaka Biashara zako ziendelee vizuri basi jiunge na Chama Cha Mapinduzi (CCM) naam...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nimekuwa mwana CCM maisha yangu yote. Nakiri kwamba chama changu kimeleta umasikini na matatizo ya kutisha kwa Watanzania. CCM imekuwa ni hatari kuliko hata Ukimwi, kwani inawaua na kuwatesa raia...
10 Reactions
129 Replies
9K Views
Wanaukumbi, Siyo jambo geni wala jipya kwa CHADEMA kususia vikao vya bunge/udiwani/halmashauri hii ni moja ya sera za CHADEMA kususa. Madiwani wa CHADEMA wa Halmashauri ya Hanang' mkoani manyara...
2 Reactions
69 Replies
6K Views
Taifa letu linaporomoka tuombeeni jmni wana jf g9t
0 Reactions
2 Replies
859 Views
Wanajamvi, (Nukuu ni kutoka katika gazeti la Daily news 25/12/2012) Nawasilisha jamvini kwa tafsiri isiyo rasmi bila kupotosha au kupoteza maana. Maalim Seif amesema kuwa jumuiya ya kimataifa...
20 Reactions
313 Replies
25K Views
Wanaharakati wa haki za binadamu wamemjia juu waziri mkuu Mizengo Pinda kufuatia kauli ya serikali aliyoitoa hivi karibuni bungeni mjini Dodoma kuhusu kuliruhusu jeshi la polisi nchini kuwapiga...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Jeshi la Polisi limeiangusha CCM Arusha, litaiangusha tena nchi nzima Makala ya Mwandishi wa Mwananchi, Toleo la jana Jumamosi Julai 27, 2013 anaepatikana kwa namba 0754 897 287 Kichapo...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari za jioni wanaJF, Ikiwa imebaki kama miaka miwili kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, chama cha CCM inabidi kituoneshe maajabu kwa kuhakikisha kwamba haya mambo nitakayo yataja hapa chini...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari wadau, Mdau nilikuwa nnaangalia kipindi cha futuhi, kinachorushwa na Star Tv , wamezungumzia swala la umeme vijijini ingawa ni kwa vichekesho lakini nnamimi ujumbe umefika. Wamesema umeme...
10 Reactions
79 Replies
8K Views
Ndugu wana JF, wiki mbili zilizopita, zimetawaliwa na ziara za viongozi wa ccm na chadema mikoani. kwa tathmini niliyoifanya, ziara ya Mh. Pinda imekua na mafanikio makubwa mkoani Ruvuma. Mh...
0 Reactions
133 Replies
11K Views
Rais Kikwete leo anamaliza ziara yake mkoani Kagera kwa kikao cha majumuisho amabacho kinaanza muda si mrefu hapa Bukoba. Nia ya uzi wangu huu, ni kujaribu kufanya tahimini ya ziara yake ambayo...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Leo nimemsikia Mulugo akikana kuwa "serikali haijakataza matumizi ya simu ila ilikataza kutumia simu darasan". Hii ni nukuu aliyoitoa kipindi alipokuwa akikataza matumizi ya simu kwa wanafunzi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Amani iwe kwenu, fikiri maswali haya nawewe uanze kutafakari upya juu ya kuuboresha muungano wetu... 1. Iwapo tofasiri ya muungano ni kuungana kwa serikali 2 zenye mamlaka, ni kwa malengo...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Naibu katibu mkuu wa CCM na mbunge wa jimbo la Iramba magharibi ameshiriki kikamilifu kwenye harambee ya ujenzi wa kanisa wilaya ya singida Vijijini,kata ya Kijota Usharika wa Mijuhu jimbo la...
0 Reactions
134 Replies
10K Views
Wanabodi nimetafakari sana na kubaini kuwa ni vema taifa la tanzania likapata baba wa taifa wa 2 baada ya Mwl Nyerere. Tunakumbuka sababu za kumwita mwl baba wa taifa ni pamoja na: - 1. Kuleta...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…