Waziri wa biashara Zanzibar amesema mafuta ya OKI na VIKING yaliyopigwa marufuku ni safi kulingana na vipimo alivyopewa na wataalamu wake na Kuwa TBS ina njama za kuwadidimiza wafanyabiashara wa...
Hamis Kigwangala amekiri kwenye kipindi cha MAKUTANO akihojiwa na FINA MANGO kwamba hawezi kumpa kura yake LOWASSA!.
Sikiliza MAGIC FM SASA.
'Mh Edward Lowasa hajatangaza nia ya kugombea...
Wazo la kuunda muungano wowote ule ni Idea ya ku gather strength.
Nchi tofauti au tawala tofauti zenye wingi wa watu unaowiana na eneo la ardhi lenye ukubwa unaofanana wanaweza kuungana ili...
- Ilani ya Serikali ya CCM, inasema ni lazima kwa Madiwani na Wenyeviti halmashauri kutenga Asilimia 10% ya makusanyo ya mapato ya kodi yaani on source kwa ajili ya kuwakopesha kina mama na...
Sasa imeshakuwa dhahiri kuwa CCM bado ina fikra dhaifu na zisizo na tija juu ya muundo wa muungano wetu. Muundo wa sasa wa muungano umenung'unikiwa na watanzania milanga na milanga, mbaya zaidi...
Alituma kwa Wana Tumaini University Yahoo Group
Salaam wana Tumaini na wapenzi wa ukweli kote mliko. Tangu Amina alipofariki usiku wa juzi, mimi binafsi kama Mhariri wa gazeti la Rai, nimepokea...
BAADA ya kuiuzia Tanzania rada kwa bei ya dhuluma miaka kumi iliyopita, kampuni ya BAE Systems ya Uingereza sasa imepewa zabuni ya kusambaza vifaa vya rada hapa nchini, imefahamika.
Kampuni hiyo...
WAKATI mjadala kuhusu muundo wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uwe wa serikali tatu kama inavyopendekezwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba ama wa serikali mbili kama inavyong'ang'aniwa na...
Wanasema ukistaajabu ya Mussa utaona ya Mwigulu,
Wakati mbunge wa Singida magharibi Mhe. Mwigulu Mnchemba anapasua masafa ya nchi wapiga kura wake wanamlilia kweli aende akawasikilize matatizo...
NCHI IKO SALAMA, ATAKAYE JARIBU ATAKIONA CHA MTEMA KUNI. Maneno hayo ameyasema ya leo Kikwete, pamoja na mambo mengine amegeuka MC.
"Nchi ipo salama, msisikilize maneno ya mtaani, CD, au...
Ndugu wanahabari, kwanza kabisa napenda kuwashukuru kwa kuitikia wito wangu, ili niweze kuzungumza na watanzania kupitia kwenu kuhusu hatari kubwa inayolikumba taifa ya madawa ya kulevya...
Nilikua najaribu kutizama ni nchi gani nzuri kwa kuwekeza ndani ya africa,sikushangaa sana kwa nini hatuko kati ya nchi hizo, kwa sababu ya historia yetu ya kupora mali ya watu (kutaifisha),lakini...
Kuna mchakato umeanzishwa kuelekea kuandikwa kwa Katiba mpya. Kama tujuavyo, tayari kuna Rasimu ya Katiba hiyo mpya. Moja ya maeneo yaliyovuta hisia za Watanzania wengi ni muundo wa Muungano wa...
Dua na sala zenu makamanda na watu wote wapenda haki, matumaini ya Watanzania wanaotaka mabadiliko ndani ya nchi yao.
Wote, wenye kusali, kuswali tuweke mikono yetu hewaninkwa aliyejuu ili haki...
Rasimu ya Katiba imepunguza mambo ya muungano kutoka 22 mpaka saba, kwa sasa mambo ya muungano yanaendeshwa kwa tsh 1.2 trilion kwa mwaka, hivyo sababu mambo yamepungua tunaamini yatapungua, kwa...
Baadhi ya wajumbe wa baraza la katiba wilaya ya magharibi Zanzibar Wamependekeza suala la elimu ya juu liendelEe kuwa la muungano kwa maelezo kuwa Serikali ya mapinduzi ya zanzibar haina uwezo wa...