Moja ya haki za kikatiba kwa wananchi ya kufikisha ujumbe na hisia zao kwa Watawala juu ya yale wasiyorishwa nayo ni maandamano.
Haki hii ya kimsingi kwa mujibu wa sheria tulizo nazo sasa...
Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassary jana Mchana alifanikiwa kuwatuliza Wameru wenye hasira kali waliofunga barabara kuu ktk eneo la Maroroni Kikatiti kufuatia Gari lisilofahamika kumgonga...
NAHAU ZA MSEMA KWELI
Uwekezaji binafsi katika Sekta ya Umeme na Utegemezi wa Wananchi kwa Serikali
Na Msema Kweli
Mfanyabiashara maarufu nchini Tanzania, Reginald Abraham Mengi, aliwahi...
Ndugu wana jamii ni siku nyingi sasa zimepita bila kumsikia kiongozi huyu wa kiroho na ilisemekana yu mgonjwa na anatibiwa nje ya nchi,,,,je ameshapona na kurudi au bado anaendelea na...
Ni muda sasa watu wamekuwa wakishabikia kuwapiga wanao onekana ni maadui wa nchi hii ambao ni Rwanda na Malawi. Lakini je,mnadhani vita ni kupeleka majeshi tu? Ndiyo vikosi imara na shupavu...
Wakuu je kushindwa kwa vibaraka kama MDC, Raila Odinga Kenya na itakavyoshindwa CDM hapa Tanzania ni dalili za waafrika kujitambua na kukataa ukoloni mambo leo au?
Inasikitisha sana kuona mtanzania hana fursa nzuri ya kujenga makazi bora kutokana na dhana mbaya ya serikali ya kuggeuza ardhi kuwa mtaji mkubwa wa mapato ya kuendesha nchi, yaani haki mojawapo...
Lini Mwanasiasa wetu ambae kweli ana mapenzi na TANGANYIKA aitishe hapa DAR ES SALAAM,mbona wengi tutahudhuria.Naona wamemuachia Rev Mtikila kusukuma gurudumu la Tanganyika
Jana tarehe August 7 2013 nimeshuhudia upokeaji wa rushwa wa waziwazi wa askari wetu mwenye beji ya Millitary police(MP) katika geti la kuingilia ukiingia njia ya kutokea stend ya daladala. Huyu...
Jamani nimeshituka sana kuambiwa na Mbatia kuwa wanafunzi wa darasa la saba walipewa swali la hesabu la uhandisi (engineering) sasa nahitaji tusaidiane kwa mwenye nalo aliposti hapa ile tuone...
Wanabodi,ningependa kufahamu matamshi aliyoyatoa Dr Slaa katika msuguano wa kifikra na mnyukano wa kauli za viongozi wakuu wa nchi na wanadiplomasia kati ya Tanzania na nchi jirani ya Rwanda.Je...
Rais Kikwete akutana na wabunge watanzania katika bunge la afrika mashariki ikulu bila shaka for briefing. Je mwelekeo wa Tanzania kuhusu EAC utabaki palepale, tutalegeza msimo kiasi au ndio...
Nyerere JK,alisema nchi haiwezi kuongozwa na wahuni,matajiri na wabinafsi,ukiona kikundi kinamnadi mtu eti mtu huyo ni mtu wa watu,fahahamu wao ni mijitu ya majitu,those are foolish statements...
CCM ina msimamo wake rasmi juu ya Rasimu ya Katiba mpya.Msimamo huo unahusu hasa kupinga kwa nguvu zote uwepo wa Serikali Tatu. Msimamowa cahama chetu ni kutaka Serikali mbili. Si tatu kama Rasimu...
Jana tarehe 7-8-2013 maonyesho ya NANE NANE yamefungwa Rasmi na Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar kule DODOMA, ninachojiuliza hivi hawa waandaji ndo kusema wamechanganyikiwa au vipi? hata kama...
Tunawaona wamesambaza watu wao, wanafanya mikutano ya ndani na hadhara, juu ya rasimu ya Katiba Mpya, badala ya kujenga hoja, wanapiga kelele. Kelele ziko zaidi kwenye muundo wa muungano, hususan...
Baada ya Mlipuko katika Mkutano wa CHADEMA - ARUSHA, hoja nyingi zilitolewa ziKijaribu kuhoji kwa nini mlipuko ulitokea ARUSHA katika Mkutano wa CHADEMA mahali ambapo inaonekana CHADEMA...
Watanzania wawili wamekamatwa na madawa ya kulevya yenye thaman ya Dola za marekani million 3.34.
Mtu mmoja jana alisema sasa hivi wasafiri watokao Tanzania wanakaguliwa kwa makini zaidi ya...
Dar es Salaam. Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye amesema chama chake hakitapuuzia maoni ya WanaCCM wanaopendekeza muundo wa Serikali...