Sumbawanga: Wanakijiji waitaka CHADEMA ifike vijijini

fukujima

Senior Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
109
Reaction score
36
Baada ya Mlipuko katika Mkutano wa CHADEMA - ARUSHA, hoja nyingi zilitolewa ziKijaribu kuhoji kwa nini mlipuko ulitokea ARUSHA katika Mkutano wa CHADEMA mahali ambapo inaonekana CHADEMA inakubalika ZAIDI? "Wengine wakihoji kwa nini Mlipuko Usitokee SUMBAWANGA ambako CCM inaonekana bado inakubalika"?

Nukuu hizi ni dalili mbaya kwa Sumbawanga kwamba Bado wanakumbatia UZAMANI - UMAGAMBA, ni vema ZIAMSHE HAMASA ya kutaka SUMBAWANGA nayo ipate mabadiliko, inaumiza sana kuona wakati ambapo wengine wanajitahidi kuleta mabadiliko ya kweli katika Nchi yetu, SUMBAWANGA inatajwa kuwa ni mahali pasipotaka mabadiliko.

Kwa hiyo kwa WANA CHADEMA wote, Wanafunzi wa Sekondari, Vyuo, Wafanyabiashara, Makamanda, akina mama, na wote MNAOFIKA kule SUMBAWANGA Tunawaomba, popote mnapokuwa Jaribuni kuyazungumzia Mabadiliko haya. Hatuhitaji Fedha, tunahitaji uthubutu wetu sote. MABADILIKO YA KWELI yanaletwa kwa kushikamana.

SUMBAWANGA mjini kuna Wapambanaji wa Kweli, Wazee na Vijana ambao wanafanya kazi kwa kujitolea, jitihada yao haitoshi kutokana na uchache wao, kwa hiyo , wanyakyusa, Wasafwa, Wandali, Waha, Wachaga, Wabena, Wahehe, Wakinga na makabila mengine yote wapenda mabadiliko mliopo Sumbawanga, TUNAWASIHI SANA, TUTOE ELIMU KWA WAFIPA, WALUNGU, WAMAMBWE NA WANYIKA waliopo Mkoa wa Rukwa ili 2014 - 2015 TUIONDOE CCM madarakani.

Nendeni, Kasense, Wipanga, Malonje, Pito, Tamasenga, Mwazye, Mwimbi, Mpui, Laela, Katazi, Mpenje, Ninga, Kambo, Kaluko, Kisumba, Kasanga, Muze, Sopa, Nkundi, Mtowisa, Namanyere, Kirando, Kala, Kasisi, na maeneo mengine TUTOE ELIMU. NCHI HII ITAKOMBOLEWA NA WENYE MOYO.

2015 SUMBAWANGA tupate WABUNGE WOTE TOKA CHADEMA. "Viva CHADEMA 2014 - 2015" Sumbawanga Viva".

Mbeya, Njombe, Iringa, Tunduma, Mpanda, Kigoma - toeni Support ya Haraka kwa Sumbawanga 2014 - 2015 si mbali.
 
Umenena vyema kamanda, bado hamasa inahitajika zaidi,pia katka mikusanyiko yoyote dat means misiba,sherehe,kongamano lolote,amsha ARI,zibua akili,yeyusha ugando wa fikra,toa tongotongo watu waone,penye uhafidhina hata maombi yatolewe,sba tubadilike jamani,KUMBUKA;walio ktk utawala wa CCM wanaendelea kuweka mazingira ya watoto wao kutawala,wanyonge tutaendelea kuwa wanyonge,HILI halihitaji MTUTU ni boksi la KURA,fanya mabadiliko,tengenezea watoto wako na wajukuu wako na jamii yako MUSTAKHABALI mwema wa maisha,CCM wamechukua chao imetosha,jasho la wanyonge linaliwa na wenye nacho,tunanyang'anywa hata kidogo tulichonacho,zuia uonevu,zuia RUSHWA,chagua CHADEMA!!
 
Baada ya Mlipuko katika Mkutano wa CHADEMA - ARUSHA, hoja nyingi zilitolewa ziKijaribu kuhoji kwa nini mlipuko ulitokea ARUSHA katika Mkutano wa CHADEMA mahali ambapo inaonekana CHADEMA inakubalika ZAIDI? "Wengine wakihoji kwa nini Mlipuko Usitokee SUMBAWANGA ambako CCM inaonekana bado inakubalika"?

Nukuu hizi ni dalili mbaya kwa Sumbawanga kwamba Bado wanakumbatia UZAMANI - UMAGAMBA, ni vema ZIAMSHE HAMASA ya kutaka SUMBAWANGA nayo ipate mabadiliko, inaumiza sana kuona wakati ambapo wengine wanajitahidi kuleta mabadiliko ya kweli katika Nchi yetu, SUMBAWANGA inatajwa kuwa ni mahali pasipotaka mabadiliko.

Kwa hiyo kwa WANA CHADEMA wote, Wanafunzi wa Sekondari, Vyuo, Wafanyabiashara, Makamanda, akina mama, na wote MNAOFIKA kule SUMBAWANGA Tunawaomba, popote mnapokuwa Jaribuni kuyazungumzia Mabadiliko haya. Hatuhitaji Fedha, tunahitaji uthubutu wetu sote. MABADILIKO YA KWELI yanaletwa kwa kushikamana.

SUMBAWANGA mjini kuna Wapambanaji wa Kweli, Wazee na Vijana ambao wanafanya kazi kwa kujitolea, jitihada yao haitoshi kutokana na uchache wao, kwa hiyo , wanyakyusa, Wasafwa, Wandali, Waha, Wachaga, Wabena, Wahehe, Wakinga na makabila mengine yote wapenda mabadiliko mliopo Sumbawanga, TUNAWASIHI SANA, TUTOE ELIMU KWA WAFIPA, WALUNGU, WAMAMBWE NA WANYIKA waliopo Mkoa wa Rukwa ili 2014 - 2015 TUIONDOE CCM madarakani.

Nendeni, Kasense, Wipanga, Malonje, Pito, Tamasenga, Mwazye, Mwimbi, Mpui, Laela, Katazi, Mpenje, Ninga, Kambo, Kaluko, Kisumba, Kasanga, Muze, Sopa, Nkundi, Mtowisa, Namanyere, Kirando, Kala, Kasisi, na maeneo mengine TUTOE ELIMU. NCHI HII ITAKOMBOLEWA NA WENYE MOYO.

2015 SUMBAWANGA tupate WABUNGE WOTE TOKA CHADEMA. "Viva CHADEMA 2014 - 2015" Sumbawanga Viva".

Mbeya, Njombe, Iringa, Tunduma, Mpanda, Kigoma - toeni Support ya Haraka kwa Sumbawanga 2014 - 2015 si mbali.

wapi Norbert Yamsebo na vijana wake?/ endeleeni kukiinua chama ...
 
CDM ni more than political party mkuu,mashambulizi yetu ni more logistical hatukurupuki kama CHAI CHAPATI MANDAZI,kazi inafanyika in proffessional way,kaa mkao wa kula 2014/2015
 
Makamanda msiogope,kupitia oparesheni ya chadema ni msingi tutavifikia vijiji vyote.
 
Sumbawanga itakombolewa muda si mrefu,naamini watu wa huko kwetu wanahitaji mabadiliko sana,natamani sana kurudi nyumbani kupeleka vuguvugu la mabadiliko lakini majukumu ya maisha yananibana!

SUMBAWANGA tusife moyo ukombozi uko karibu sana,wale mahome boy tuwasiliane ili tujenge nguvu ya pamoja tuweze kuondoa tongo tongo hapo home.
sante kalesa!!!!
 
CDM ni more than political party mkuu,mashambulizi yetu ni more logistical hatukurupuki kama CHAI CHAPATI MANDAZI,kazi inafanyika in proffessional way,kaa mkao wa kula 2014/2015
Check your speed please. Hatuoni mkakati wa kisayansi wa kufungua misingi nchi nzima. Ni kweli kuwa sehemu nyingi za vijijini hata hawajui CHADEMA ni nini! Believe me kuna kazi kubwa bado. Si rahisi sana 2014 kama unavyodhani unless something is done immediately, effectively and efficiently. Mhhh!
 
Sumbawanga itakombolewa muda si mrefu,naamini watu wa huko kwetu wanahitaji mabadiliko sana,natamani sana kurudi nyumbani kupeleka vuguvugu la mabadiliko lakini majukumu ya maisha yananibana!

SUMBAWANGA tusife moyo ukombozi uko karibu sana,wale mahome boy tuwasiliane ili tujenge nguvu ya pamoja tuweze kuondoa tongo tongo hapo home.
sante kalesa!!!!

Mwene witu mkwai...!
 
mkuu Mshunami remember,gradual change z more effective than radicalism esp. kwa jamii nyingi za vijiji vya kitanzania ambazo pia ni maskini za kutupwa, ambapo kwa muda mrefu zimepumbazwa na uchafu wa CCM kwa kupewa tshirts,khanga na kofia ambazo kwao ndo yalikuwa mavazi ya sikukuu,hahahahahaaa...,thn FARAJA kubwa zaid ni kwamba kizazi cha chama kushika hatamu ndo kinaisha,nchi inabaki na makamanda uhuru waja kaka!!
 
Baada ya Mlipuko katika Mkutano wa CHADEMA - ARUSHA, hoja nyingi zilitolewa ziKijaribu kuhoji kwa nini mlipuko ulitokea ARUSHA katika Mkutano wa CHADEMA mahali ambapo inaonekana CHADEMA inakubalika ZAIDI? "Wengine wakihoji kwa nini Mlipuko Usitokee SUMBAWANGA ambako CCM inaonekana bado inakubalika"?

Nukuu hizi ni dalili mbaya kwa Sumbawanga kwamba Bado wanakumbatia UZAMANI - UMAGAMBA, ni vema ZIAMSHE HAMASA ya kutaka SUMBAWANGA nayo ipate mabadiliko, inaumiza sana kuona wakati ambapo wengine wanajitahidi kuleta mabadiliko ya kweli katika Nchi yetu, SUMBAWANGA inatajwa kuwa ni mahali pasipotaka mabadiliko.

Kwa hiyo kwa WANA CHADEMA wote, Wanafunzi wa Sekondari, Vyuo, Wafanyabiashara, Makamanda, akina mama, na wote MNAOFIKA kule SUMBAWANGA
M4C NDIO INAONGOZA OPERATION VJJN/MITAA IRINGA MJIN TUNASONGA WAZEE, VIJANA WANATAKA KAD NA TUMEISHIWA MPAKA WK IJAYO ZJE ZINGINE. MABADILIKO HUANZA NA WEWE PEOPLE'S....!
 
Najihisi aman nikikutana na jembe kama wewe,nakuunga mkono bro 2014-2015 ccm hawana chao,nyingine kete tu jibu 2015.
 
Back
Top Bottom