Ukweli na Uwazi
Senior Member
- Apr 20, 2013
- 122
- 54
Jamani nimeshituka sana kuambiwa na Mbatia kuwa wanafunzi wa darasa la saba walipewa swali la hesabu la uhandisi (engineering) sasa nahitaji tusaidiane kwa mwenye nalo aliposti hapa ile tuone ukweli wake. Hakika kama hili swala ni kweli basi elimu yetu imeshapotezwa kabisaaaaaa. Thxs