Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wana jamii forums Natoa angalizo kwa mchakato wa katiba mpya kuwa serikalii iangalie kama kuna uwezekanao wa kubadilisha mfumo wa kuchagua viongozi badala ya kupiga kura zoezi ambalo linatumia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanachama wa ccm mkoani Rukwa wamekwenda kinyume na msimamo wa chama chao na kutaka uwepo wa serikali tatu maana katiba ni kwa maslahi ya Taifa na sio wana ccm, Tunajua ccm viongozi wakubwa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mh mbowe akiwahutubia watu wa boma ngombe jioni hii ktk mkutano wake wa kumi na sita amesema ametangaza vita zidi ya mkuu wa wilaya makunga ,kwa kile ambayo ccm wametaifisha kiwanja cha umma na...
1 Reactions
63 Replies
6K Views
Summary Still current at: 9 August 2013 Updated: 8 August 2013 Latest update: Summary - attack on two British women in Stone Town, Zanzibar A large fire broke out at Nairobi’s Jomo Kenyatta...
3 Reactions
53 Replies
5K Views
Members of the East African Legislative Assembly (EALA) want to oust Speaker Margret Zziwa for taking sides in the disputed decision to have the House sit only in Arusha. The members opposed to...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wafugaji wote wa mkoa wa kagera wenye asili ya Rwanda na Uganda si wahamiaji haramu. Wana residence permits. Na wanatembea nazo, make wao wakikamatwa bila kuwa nanzo siku zote wanatiwa ndani na...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Wana jf leo tujikumbushe kauli ya Nape na mwigulu kama yameisaidia chama chake. Leo tuanze na Nape kwanza. 1. Akiwa ziarani mkoa wa Mara, aliwaambia wapambe wake kuwa 'ikulu si wodi ya...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Mama Tibaijuka anatafutwa na wapiga kura wake wa Jimbo la Muleba,leo asbui kwenye kipindi cha Super Mix baadhi ya wapiga kura wake ambao walikua wakihojiwa na Kituo cha redio cha East Africa...
0 Reactions
79 Replies
10K Views
Baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu Yusuf Makamba katibu mkuu mstaafu wa CCM ameibuka na kudai kuwa Mbunge wa Monduli na Waziri mkuu wa zamani EDWARD LOWASSA ni mtu wa watu na anafaa kuwa kiongozi...
1 Reactions
103 Replies
9K Views
Habari Zenu, Rwandan Foreign minister, Louise Mushikiwabo, amesema jana (08 August 2013) : " Tunatumaini kama uhusiano kati ya Rwanda na Tanzania au, na nchi yoyote jirani, ni mzuri. Hata kama...
0 Reactions
46 Replies
5K Views
Wna jf, achana na kauli ya Nape, Mwigulu,Pinda, Wasira, etc..sasa sikia hii kali. ''Ni vigumu kuongoza watu maskini na wenye njaa'' hiyo ni kauli ya mh waziri wa nchi,ofisi ya waziri mkuu, Mary...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Vyama vingi hasa vya upinzani kikiwemo CHADEMA vinabebwa na majina ya watu hasa wale walio na umaarufu lakini ukimuuliza hata mwananchi wa kawaida nini sera ya CHADEMA kuhusu ardhi haijui,nini...
0 Reactions
76 Replies
5K Views
Tunaomba uongozi wa chadema kanda ya kusini wapeleke M4C jimbo la Mbinga mashariki kwani hadi sasa mbunge wetu Gaudence Kayombo hakuna alilo fanya ,wananchi wana hitaji mabadiliko ya haraka kule...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
ni kweli na tunashukuru sana kwa msaada huo kwani ni mkubwa sana mpaka unatia mashaka,lakini swalilakujiuliza ni kuwa umetolewa kwa makubaliano gani? kama mtanzania ninahaki ya kujua kama...
0 Reactions
50 Replies
6K Views
SHEIKH PONDA AIBUA MAPYA *Apinga mpango wa serikali misikitini KATIBU wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, ameibua mapya baada ya kumtaka Waziri Mkuu, Mizengo...
0 Reactions
138 Replies
10K Views
Serikali ya chama cha mapinduzi tunaomba orodha ya waliowahi hata kuhojiwa na polisi kama sio kushitakiwa kwa tuhuma(kashifa) hizi:- 1.Richmond 2.Meremeta 3.Kagoda 4.Deep Green Finance 5.EPA...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Kwa kweli nashangaa kwa ccm kuwakumbatia na kibaya zaidi kuwapa uongozi wa umma watu wa dizaini ya akina nape kwani badala ya kuiletea chama sifa stahiki,wanakididimiza na kuonekana kibaya machoni...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Katika Taarifa ya habari ITV Saa 2 Nimemuona na kumsikia Lipumba akiongea katika Ibada ya IDD kuwa watanzania tuendelee kudumisha Amani, Utulivu na Umoja tulionao sasa. kauli hii inanipa shida...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
By The Citizen Reporter Friday, August 9 2013 at 20:44 Inquiries during the week that has seen raging debate on whether Tanzania was losing the war against drug trafficking...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Matukio ya tindikali zanzibar na mauaji yanatuchafua pia watanganyika maana kimataifa inalipotiwa kama Tanzania ambayo 90% mataifa yanaitambua kuwa ni Tanganyika. Wazanzibar mbadilike bwana.
0 Reactions
51 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…