and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,411
- 40,103
Polepole NI Noma. Anatema mawe hadi aibu. Project ya ACT imeanza siku nyingi
Aisee mtu usijichanganye kwenye projects za watuACT ni project ya mtandao
Pale wanamtandao walisiganaLowasa kwenda Chadema mratibu alikuw anani?
Maalim sefu , kwa heshima ya umri tumuweke pembeniHivi Mpina hajawahi kujiuliza wagombea wote wa nafasi ya uraisi kupitia ACT wazalendo walikufa?
Mama Ngwila
Maalim Seif
Membe
Hutajibiwa.Lowasa kwenda Chadema mratibu alikuw anani?
Wanamtandao walisalitianaLowasa kwenda Chadema mratibu alikuw anani?