britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,060
- 46,998
Nimewahi kusikia maneno kutoka kinywani Kwa Mzee wangu (Mkemia mkuu mstaafu)
Anasema Nyerere alikuwa na Udhaifu mmoja Wa kupendelea majina yale yale Kwa Kila kazi
Unasikia Yuko wapi Jakaya, utasikia John (yaan Malecela sisemi Magufuli)
Utasikia Samweli , Mara utasikia Butiku, au Warioba, na kipenzi chake saana alikuwa SALIM AHMED SALIMU
ila pamoja na kwamba aliwapendelea hakusita kuwakemea wanapofanya upuuzi
Ukaja wakati Wa Mwinyi akawaweka wote chini akaanza na Wa kwake
Ni wakati wao walitesa sana,
Wakati Wa Mkapa kuna kina Masilingi, Kina Zimbihile kina Kinyondo, kina Zombe, Kina Yona na Balali,
Wakati Wa Kikwete Kina Makamba, Kina Sadik hata Lukuvi wametamba
Awamu ya 5 ndio maajaabu kabisa imezungukwa na washamba sana
Leo hii Kina Makonda wanadhani wako juu ya sheria au ndio wenye nchi mpaka wanasahau mipaka ya kazi zao, ngoja wale mambo ndio wakati wao
Wakae wanajua mwaka 2025 kutakuwa na mwingine ambaye atakuwa na utaratibu wake