Vichengerwa & Vi-Msoga vinaandaliwa ufalme

Vichengerwa & Vi-Msoga vinaandaliwa ufalme

SSH2025_2030

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
9,661
Reaction score
9,813
Kama ilivyo nchi za Ulaya (Uingereza, Uholanzi, Hispania n.k) umefika wakati nasi tuandalie vijana wetu kuongoza taifa siku zijazo. Japo Bumbuli wametoswa kindezi ila Mzee alipambana haswa ila wakati huu si wake. 2025 ilikua tupate Kiongozi toka Bumbuli ila ndo vile tena.
 
Dhamira chafu na na ule uchafu uliofanywa na wazazi wao, vitazifanya hizo familia zichukiwe na umma.
 
Mchukue maamuzi sasa, wakati mnachimba biti waliopo kwenye hizo nafasi wanafanya kweli
Wenyewe tu watalipuna huko na kuharibiana wenyewe kwa wenyewe, kina Polepole wengi watajitokeza huko chamani kwao mmoja baada ya mwingine
 
vi-jamiiforum vya baadae vije kuwa na account au sio
 
Kama ilivyo nchi za Ulaya (Uingereza, Uholanzi, Hispania n.k) umefika wakati nasi tuandalie vijana wetu kuongoza taifa siku zijazo. Japo Bumbuli wametoswa kindezi ila Mzee alipambana haswa ila wakati huu si wake. 2025 ilikua tupate Kiongozi toka Bumbuli ila ndo vile tena.
Issue sio hayo majina,wamefanya nini wakiwa viongozi?

Mtu kama Riz kweli unamuandaa awe rais? Wap na wapi?
Kwa kipi alichokifanya exceptional?
Amepita mawizara mangapi?amefanya nini?

Makamba kapewa plafform nyingi mnooo ,yeye kila akipewa uwaziri akili yake iko kwenye urais!

Ccm kama haitarudia miiko yake na haki katika chaguzi, wasimlaumu Lissu wala Chadema!
 
Back
Top Bottom