Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUTOONEKANA KWA ELISHA JUMA HASSAN Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita linachunguza na kufuatilia kwa karibu tukio la mtu anayedaiwa kuchukuliwa na watu ambao hawajafahamika...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
CCM ina mambo yake yanakosolewa na watu ila kuna jambo moja wamelipatia sana, ambalo vyama vingi barani afrika vimefeli nalo ni kujenga chama ambacho kinamjumuiko (inclusivity) ya watanzania...
0 Reactions
4 Replies
322 Views
Katika amka na BBC leo asubuhi tarehe 03/09/2025, shirika la utangazi la BBC limejaribu kuwataja watu wanaowaua wakosoaji wa serikali, akiwemo Shadrack Chaula (Car of God) kutoka mkoa wa Mbeya...
19 Reactions
88 Replies
7K Views
Kuna watu ni naive, wanadhani injustice ikifanyiwa watu fulani basi hilo haliwahusu. Na pia huwa kuna kasumba ya watu kuabudu Mwenye nguvu. Kwa watu wa aina hii makosa yote huwa ni ya asiye na...
7 Reactions
29 Replies
1K Views
Kada maarufu wa CCM na Askofu wa kanisa la Arise and Shine, Dr Boniface Mwamposa (Buldozer) leo amewahimiza waumini wake waende wakajiandikishe kwenye daftari la kupiga kura na kuwapigia kura...
35 Reactions
292 Replies
11K Views
๐—ก๐—ฌ๐—ข๐— ๐—œ ๐—Ÿ๐—” ๐—ช๐—”๐—ก๐—”๐—ก๐—–๐—›๐—œ ๐—ช๐—” ๐— ๐—จ๐—™๐—œ๐—ก๐——๐—œ (๐—ก๐—ฌ๐—ข๐—ฅ๐—ข๐—ฅ๐—ข) ๐—ž๐—จ๐— ๐—Ÿ๐—”๐—ž๐—œ ๐—ฅ๐—”๐—œ๐—ฆ ๐——๐—ž๐—ง. ๐—ฆ๐—”๐— ๐—œ๐—” ๐™’๐™–๐™ข๐™ช๐™๐™–๐™ ๐™ž๐™ ๐™ž๐™จ๐™๐™ž๐™– ๐™ ๐™ช๐™ฌ๐™– ๐™Š๐™ ๐™ฉ๐™ค๐™—๐™– 29 ๐™๐™–๐™ฃ๐™– ๐™ ๐™ž๐™ฏ๐™ช๐™ž๐™ฏ๐™ž, ๐™ ๐™ช๐™ง๐™– ๐™ฏ๐™ค๐™ฉ๐™š ๐™ฏ๐™– ๐™ฃ๐™™๐™ž๐™ฎ๐™ค ๐™ฃ๐™ž ๐™ฏ๐™–๐™ ๐™š. Sehemu ya Wananchi wa Nyororo Wilayani Mufindi...
0 Reactions
2 Replies
313 Views
RAIS DKT. SAMIA AWASHA MOTO WA MATUMAINI MAKAMBAKO Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 6 Septemba 2025...
0 Reactions
1 Replies
336 Views
Mgombea ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (#CCM) jimbo la Uyole mkoani Mbeya Dkt. Tulia Ackson akiwa katika kampeni za uchaguzi mkuu mwaka 2025 ameeleza namna ambavyo watu wanatumia mitandao...
1 Reactions
10 Replies
552 Views
Msirudie kosa hili! Kungelikuwa Western world , huyu mgonjwa mngemlipa fidia magunia ya hela! Mngeliweka alternative service to at least save "lives"
0 Reactions
6 Replies
446 Views
Haya ndugu zangu Wanaccm nimeona na mimi niazishe thread yakuwajibu wahuni wa no reforms no election twende nao sambamba hawa watu mpaka kieleweke kati ya sikio na kichwa nani kamzidi mwenzie
9 Reactions
83 Replies
4K Views
Kwa maana hiyo ule mtandao wa Mapacha Watatu ulizikwa rasmi 2015 Ikumbukwe Mapacha Watatu ndio walikuwa Vinara wa Mtandao japo kulikuwa na Wajumbe kama Membe, Sitta, Mataka, Temu, Sophia nk nk...
0 Reactions
0 Replies
306 Views
Wazee wa Mbarali wamesema wanaimani na Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Dkt Samia Suluhu Hassan kumpa tena ridhaa ya kumchagua na kuiongoza Tanzania; Kwani alipotoka ni...
0 Reactions
8 Replies
422 Views
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Hai Mkoani Kilimanjaro kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Saashisha Mafuwe leo Ijumaa Septemba 5,2025 amefanya ziara yakuwatambulisha kwa wajumbe na wanachama wa chama...
3 Reactions
1 Replies
379 Views
eti wizara ya ulinzi ameibadili jina na kuiita wizara ya vita! advocating violence upfront
1 Reactions
16 Replies
926 Views
Hata kama wanabeba Hivi unaweza kubeba watu wote hawa kila mkoa ? ๐Ÿ˜ณ Cc Lucas Mwashambwa
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Tabia ya Prof Kabudi kutumia jina Mwalimu Nyerere kwa maslahi yake binafsi limekua kubwa.
1 Reactions
7 Replies
472 Views
Hii code nitawapa ufikirishi
1 Reactions
3 Replies
509 Views
Hajaonekana. Mzee wa kulamba asali. Nadhani itakuwa yupo reserve anasubiria kufanya Kampeni mkoani mwake Tanga. Huyu Mzee wa Pwani ana maneno sana nadhani atatumika kwa wakati wake kumnadi...
7 Reactions
39 Replies
3K Views
Kwanza hoja alizowasilisha kutetea mtandao ni dhaifu sana, hazina mashiko yoyote na zimejaa ulaghai mtupu. Anaposema mtandao ni jambo la kawaida kwenye demokrasia je nchi hii ina demokrasia...
8 Reactions
43 Replies
2K Views
Waswahili husema Ngโ€™ombe wa shughuli ya hitima akikata kamba hachinjwi tena anabakia kuwa mlinzi wa Zizi hadi afe mwenyewe Naiona Siasa ya 2030 itakuwa imebakia na vyama viwili tu CCM na Chadema...
4 Reactions
46 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ