Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Miezi iliyopita tuliona movement kubwa sana ya no reform no election sisemi kwamba movement imekufa ila sioni zile harakati zikiendelea wako watakaosema wamezuiwa kufanya siasa hiyo sio sababu...
3 Reactions
3 Replies
249 Views
Nawaza jinsi ninavyoziona hasira za vijana wa CCM dhidi ya Humphrey Polepole, Hawa vijana kwa bahati mbaya wakutane na Polepole mtaani, kitatokea nini?
2 Reactions
10 Replies
568 Views
Ni wazi kabisa na kuna ushahidi wa kimazingira kuwa hayo mabilioni ya shilingi anayodai mkuu wa nchi kuwa yaligaharamiwa na watanzania kuwezesha ziara yake huko Usa yatakuwa yalitolewa na Rostam...
25 Reactions
157 Replies
10K Views
Kwa wale wenye ufahamu mkubwa na masuala ya intelligency watakubaliana nami kuwa CIA ni shirika la kijasusi lenye mtandao mpana ajabu duniani, shirika hili hununua raia wa nchi husika na kuwafanya...
11 Reactions
144 Replies
26K Views
Tangu nilipokutana na Rostam Abdul Aziz (Mburushi wa Iran, mzaliwa wa Tabora) Jijini Telhaviv nchini Israel mwaka 2012 na kubaini kuwa ni wakala wa CIA katika Ukanda wa Afrika Mashariki nilianza...
80 Reactions
301 Replies
26K Views
Kwanza nadhani tuna tamaduni za kuweka picha kwa watu ambao tunaamini ni mashujaa katika chama chetu, kwa hili chama kinapaswa kiniweka kati ya watu mashuhuri wa chama - Monalisa Ndala. Monalisa...
1 Reactions
5 Replies
633 Views
Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu nchini Tanzania TAHLISO Bw. Geofrey Kiliba amesisitiza umuhimu wa Wasomi na Vijana waliopo vyuoni kukemea, kukosoa na kushauri kwa kutumia maarifa na...
1 Reactions
7 Replies
449 Views
LeoKweli said: Rostam Aziz ni mnyamwezi, Shangazi responded: Acha upumbavu! ni mnywamwezi kakwambia nani. Yeye ki ukweli ni raia wa Iran na Canada. Fuatilia mjomba. Rostam Vs Mengi...
8 Reactions
789 Replies
106K Views
Tycoon Rostam Azizi, just two weeks after trending on social media after becoming the new owner of Tigo and Zantel, has again surfaced across social media after being spotted in President Samia’s...
8 Reactions
81 Replies
9K Views
Wakuu, Wenye data za uhakika kuhusu uhusiano wa hao jamaa wamwage hapa. Kuna tetesi kwamba rostam ndiye aliyebeba fungu la kampeni za kumweka madarakani jk na ndiyo maana alipewa cheo cha...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mfanyabiashara huyo maarufu amempongeza Rais Magufuli na kusema hivi sasa anafanya jambo la kutengeneza misingi ya uchumi utakaokua kwa uhakika zaidi na kutengeneza mazingira sawa ya biashara...
15 Reactions
490 Replies
92K Views
Sasa Taifa gesi wanakwenda kuwa provider wa energy kwa kila mtanzania masikini na Tajiri. Ila tuwe positive jamani Rostam ni mwamba yeye anafit kwa kila Rais. Sasa wizara nzima ya Nishati ni...
16 Reactions
115 Replies
10K Views
Moja ya sababu kubwa iliyomfanya Magufuli asikae Magogoni ilikuwa ni nguvu za giza ambazo ziliachwa mle. Polepole amesema hawa jamaa wanakushambulia kwa mbinu zote ikiwemo hizo za giza. Na...
13 Reactions
20 Replies
1K Views
Kesi Yangu ya Uhalifu wa Uhaini ni Hukumu ya Kifo kwa Demokrasia ya Tanzania Na Tundu Lissu 28 Agosti 2025 Uhaini unastahili adhabu ya kifo. Serikali inalenga sio tu kumuua mtu, bali pia kuua...
27 Reactions
49 Replies
4K Views
1. Dorothy Aidan Mwaluko - Manyoni 2. Vita kawawa - Namtumbo 3. John John Nchimbi - Nyasa 4. Salum Chaurembo - Kisarawe 5. Haszan Shelukindo - Lushoto 6. Malumbo Philip Mangula - Wangin'gombe...
9 Reactions
64 Replies
4K Views
Ukongwe wa CCM umetokana na kukosoana vikali lakini kupitia taratibu za ndani ya chama za kukosoana. Ukimuona anayetoka nje kuikosoa CCM huyo ni msaliti kwa chama na muhaini kwa Mama Tanzania...
1 Reactions
24 Replies
751 Views
Lakini Sisi wakristo TUNAMWAMINI Mungu wa mbinguni, amesema mwalimu Mwakasege Mfuatilie sasa kupitia Upendo tv yuko mubashara mjini Tabora Ahsanteni sana 🙏
0 Reactions
0 Replies
176 Views
Huu ni uchunguzi wangu huru Kwa sasa Kwa kuangalia Ratio kati ya Idadi ya watu kwenye nchi dhidi ya chama Cha siasa kinachoongozwa kwa kupendwa. Sasa na wewe uko huru kufanya utafiti wako ila...
6 Reactions
27 Replies
967 Views
Wengi wanadhani kwamba Lissu ndo mkombozi wao kisiasa huku “no reform no election” ikionekana kama ndo mapinduzi rasmi katika uchaguzi na kupelekea mapinduzi makubwa ya uraisi endapo movement...
6 Reactions
63 Replies
3K Views
Kwa mfano Mtu anaamua kuwadanganya Chadema ni sawa anajidanganya yeye mwenyewe kwa sababu imeandikwa shetani ni baba wa Uwongo Msema kweli ni mpenzi wa Mungu wa mbinguni 🙏 Mlale unono 😄✔️
1 Reactions
2 Replies
238 Views
Back
Top Bottom