Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tangu Chama cha Mapinduzi (CCM) kilipozindua kampeni zake za uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, 2025 katika uwanka wa Tanganyika Packers Kawe jijini Dar es Salaam, kumekuwa na mijadala kuhusu ahadi...
1 Reactions
1 Replies
498 Views
Msikilizeni huyo shuhuda. Anadai Mzee Ally Kibao aliumizwa vibaya kichwani, na alitobolewa macho. "Nilikuwa na abira wangu sasa wakati napita nilikuta watu wengi sasa hapa ilibidi nipaki...
21 Reactions
98 Replies
10K Views
Nafahamu mwenyekiti mstaafu wa Chadema Mh Mbowe alikuwa na utamaduni wa kuwafuata Vijana wa vyuo vikuu na kuwaleta Chadema ndio hawa akina Zitto, Silinde, Kafulila, Nassari, Halima, Juliana...
2 Reactions
9 Replies
412 Views
Akizungumza na Kituo cha Clouds Redio, Ally Bananga ambaye ni Katibu wa Siasa na Uenezi Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam ameeleza kuwa Bilioni 89 zilizochangishwa na CCM ni kwa...
0 Reactions
13 Replies
970 Views
When The Axe Came Into The Forest, The Trees Said: 'The Handle Is One Of Us' So true. Sometimes the greatest damage comes from within, when those closest to us unknowingly (or knowingly) enable...
6 Reactions
13 Replies
1K Views
Katika majira haya yenye kelele zisizo na ala, tunalazimika kunyoosha antenna zetu kupokea kile ambacho hakijasemwa wazi. Japo mitetemo ya chini ya ardhi haionekani kwa macho ya kawaida...
12 Reactions
91 Replies
6K Views
Je, Unahitaji YAS 4G au 5G UNLIMITED Router? Kwa ajili ya Ofisi au Nyumbani kwako? Karibu sana tukuhudumie Leo, 📢 YAS 4G+ Pocket Mi-Fi @ 120,000/= ✔️ Kifaa / Pocket ni Tsh. 50,000/= ✔️...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Mwabukusi, Rais TLS, hali ya mahakama za mwanzo ni ya kusikitisha. Kuna wanasheria uchwara wengi. Rais Mwabukusi, sijui kama unajua hali hii hapa Ukonga? Katika mahakama za mwanzo, zipo ofisi za...
5 Reactions
10 Replies
687 Views
Kuna wanaofurahia yanayoendelea katika maandalizi ya uchaguzi Mkuu wa 2025. Kwa msiofahamu, SSH hataki kabisa TL awe kwenye ballot na ndio sababu ya nguvu kubwa iliyotumika na inayotumika kabla ya...
10 Reactions
17 Replies
1K Views
Kuna wasomi wanawake Kikwete amewabeba awamu yake ya urais kutokana na harakati zake alipokua kiongozi wa wanafunzi chuo kikuu cha Dar es Salaam. Mtu kama Asharose anajua sana kingereza, ni msomi...
9 Reactions
43 Replies
3K Views
Kijasusi zinaitwa psyops. Matumaini kuwa kuna mtu / watu wenye nguvu au kuna Mungu ataingilia kati na kurejesha haki zako is a powerful thing inayoweza kukufanya uendelee kungoja ili kuona nini...
7 Reactions
29 Replies
1K Views
Na Brighton Masalu MGOMBEA ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jimbo la Tarime Mjini, Esther Nicholas Matiko ameonesha dira thabiti ya maendeleo na kufufua matumaini kwa wananchi wa jimbo...
2 Reactions
6 Replies
564 Views
Kwa sasa nchi ipo kwenye sitofahamu, Kila kiongozi anajinasibu yuko sahihi, swali wanataka kutupeleka wapi, tuko wapi na tunaelekea wapi? 1; Nikimuuliza comrade Kikwete nani ametufikisha hapa...
1 Reactions
0 Replies
285 Views
Habarini ndugu zangu wana JF, jana nikiwa naburudika bar ukazuka mjadala wa walevi kuhusu no reforms no election Kinachosikitisha asilimia kubwa ya wadau waliochangia hoja wanadai hizo reforms...
4 Reactions
23 Replies
862 Views
Mpaka muda huu hali ndio kama mnavyoona Majirani wanadhani huenda watu wako Pembeni kukwepa Vumbi maana Chama hicho kinatumia Usafiri wa kisasa wa Chopa Tuendelee kusubiri Chopa Itue kwanza
35 Reactions
171 Replies
9K Views
Wazee wa kimila wa kabila la Waluguru, Kata ya Mlali wilayani Mvomero mkoani Morogoro, wamefanya matambiko maalum ya kimila kwa Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mvomero kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM)...
2 Reactions
3 Replies
366 Views
The AUC Chairperson, H.E. Mahmoud Ali Youssouf, held his inaugural meeting with the newly appointed AU Special Envoy on Women, Peace and Security (WPS), H.E. Amb. Liberata Mulamula. The Office of...
4 Reactions
39 Replies
3K Views
Taarifa hii Kabambe imetolewa na Mmoja wa Wagombea Urais anayeungwa mkono na Wananchi wengi. Habari kamili hii hapa. == Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jaji George Kazi, amekabidhi...
4 Reactions
17 Replies
956 Views
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mwibara kupitia ACT Wazalendo Cyprian Musiba ameahidi kuzilinda kura zote atakazopigiwa na wananchi katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Musiba amesema hayo Agosti 31...
1 Reactions
9 Replies
839 Views
Mpaka Sasa wagombea ubunge wafuatao ambao wamepita bila kupingwa na wanasubiria kura ya ndio au hapana. Majina yao ni yafuatayo: 1. Masache Kasaka Jimbo la Lupa 2. Ulimboka Mwamengo Jimbo la...
9 Reactions
69 Replies
4K Views
Back
Top Bottom