This is Rostam I know... The Story Behind the Man | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

This is Rostam I know... The Story Behind the Man

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Prince William, May 7, 2009.

 1. P

  Prince William Member

  #1
  May 7, 2009
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 19
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  LeoKweli said:

  Shangazi responded:

  Rostam Vs Mengi: Tribalism?

  Yesterday (Wednesday) I was shocked when one of the great thinkers claimed that the ongoing clashes between Mengi Reginald and Rostam Aziz and his partners is tirbal fight involving Chagas and Lake Zone (Sukuma and Nyamwezi tribes).

  That Lake Zone will always rally behind Rostam at any cost because he is their true son. This is funny and bullshit. God forbid, I am from Lake Zone regions and so does Mwanakijiji, we are not ready to support anybody under the grounds of tribalism. We are not ready to be dragged in the tribal sentiments by those who benefited from the looted billions.

  By the way who is Rostam? He is mercenary who came to this country from Iran at the age of 22 to visit his uncle who was trading on buying and exporting hides. He stayed there in Igunga, learnt the local language including swahili as well as politics, before officially jumping into the bandwagon of parliament in 1994 after the death of Charles Kabeho.

  Having inherited his uncle's business, Rostam rose as a trader trading in hides (Ngozi) before forming a road construction company called Capsian which he used to conduct shoddy business, and earned billions. This company failed to deliver according to the agreed standards in Mafia, Mwanza, Dar es Salaam, forcing Magufuli who was by then minister for works to suspend payments worth billions. That's why soon after Kikwete won the election, while Rostam and Lowassa acquired Habari Corporation, Muhingo Rweyemamu was given a special assignment to deal with the so called corrupt deals in government owned houses.

  If you guys remember, Rai newspaper serialised damning articles about Magufuli in a calculated bid aimed at politically victimising him as well as reducing his popularity which was a threat to a much hurried man-Lowassa. But the funny thing is that while Rai was busy attacking Magufuli, Mr. Muhingo didn't bother to ask his boss (Rostam) how did he acquire his home in Dar while he wasn't the government's worker or civil servant.

  If Mengi is misusing his media, please would you tell who is the media owner in this country who has not used his media for his personal interests? Toni Diallo? The Late Nyaulawa? Prince Aghakhan? Rostam? Tanil Somaiya? Subhash Patel? No one.

  EPA

  I have carefully read the last words written by Dr. Ballali before he died in US last year and my conclusion is very simple: Rostam is a shark through Kagoda. He pocketed Sh40billion using CCM campaign as a front or a shield.

  "Rais Mkapa akaniita pale Ikulu akaniambia Kampe Rostam pesa ili Malaika aweze kushinda uchaguzi... Nikajibu kwamba pale benki kuu hakuna fedha labda zile za account ya madeni lakini itabidi wafuate utaratibu" DR. Ballali.

  "Nikakaa na Rostam nikampa utaratibu na kumtambulisha kwa ndugu Maregesi ili amsaidie kusajili kampuni ya Kagoda... Kwa kuhofia bomu kulipuka nikashauri waingizwe na wengine wengi kwa masharti ya kuchangia Chama asilimia 40 ya malipo... Lengo lilikuwa ni kufanya ionekane kama serikali kwa wakati huo iliamua kulipa madeni." Dr. Ballali.

  Now this is just the version of the dossier by Dr. Ballali where he strongly revealed how Rostam swindled the billions. The party was given only Sh10billion.

  In conducting all bank transactions, Rostam used his personal secretary Tabu Abdulah as a cover-up. There's all evidence.

  I am ending here but very soon I will reveal all things about Rostam.

   
 2. F

  Fundi Mchundo JF-Expert Member

  #2
  May 7, 2009
  Joined: Nov 9, 2007
  Messages: 4,706
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Matusi ya nini? Raia wa Iran na Canada ndiye mbunge wa Igunga! Muogope Mungu.


  Shangazi. Tema mate chini. Haunijui, sikujui. Umeingia juzi tu ( machi 2009) basi na wewe unataka kuanza kunijaribu? Haushangai hao wakina Mzee Mwanakijiji, FmeS na wengine waliokutangulia hata mara moja hawajasema nimetumwa na hao unaowaita mapapa pamoja na kuwa tuko pande tofauti za hoja? Hapa tunajadiliana kiungwana. Kama kwako kukosolewa ni uadui basi hapa hapakufai. Inawezekana umesoma kuliko mimi lakini kwa mfano huu, naona haujaelimika. Huu ni ushauri wa bure na sina haja ya kujibishana na wewe.

  Amandla.........
   
 3. R

  Rwabugiri JF-Expert Member

  #3
  May 7, 2009
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 2,777
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Prince William, karibu sana mkuu, huu ndio muda muafaka.

  Vikaragaso (cheche et al.. 2009) vya Fisadi papa Rostamu Azizi, njooni wote kwa macho yenu mshuhudie aliyo tufunulia hapa prince William, tena kasema hilo ni tonoradi!
   
 4. L

  LeoKweli JF-Expert Member

  #4
  May 7, 2009
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 335
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Swala la kwamba ana uraia wa nchi nyingine is another topic, But Kaziliwa Tabora , Kakulia Tabora anongea kinyamwezi na Ni mtanzania, Kama ana passport mbili zingine , we can even start there, Kuna watanzania wengi sana ambao wana passport zaidi ya moja which is against the country Law.

  Kama unaushaihidi unasubiri nini kuwaambia Immigration wakamkamate? Pili ninakumbuka ule mjadala wa balali watu mlisema ana uraia wa marekani lakini ubalozi wa marekani ukakanusha na kusema kuwa alikuwa na diplomatic passport kutoka Tanzania ambayo baadae ilkuwa revocked.

  Mwisho you can present your point without beig disrepective , Heshima hainunuliwi. Inabidi ujifunze ustaarabu
   
 5. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #5
  May 7, 2009
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0
  - Mkuu Prince, ubarikiwe sana maana hapa JF huwa tuna akili ya kusoma hoja between the lines, mimi sina wasi wasi na dataz zako, ninaziamini kwa 100%, ninashukuru sana kwamba finally tunaanza kuona ukweli muhimu tuliyofichwa kwa siku nyingi sana,

  - Thanks to Mzee Mengi, maana in the last two weeks tumeyajua mengi sana na bado tutayaona mengi zaidi, poleni sana mnaojaribu kumsafisha fisadi papa, maana sio kazi ndogo kama mnavyoona, kuwa objective ni one thing na kumsafisha papa ni another story, safari hii kweli kadata,

  - Kule CC muungwana kamtema tena wazi, huku Public ndio kabisaa aibuu kwa mtumzima, Takukuru hao ni watu wa rushwa sio ufisadi, sasa ana njia moja tu ya kujisafisha nayo ni kupambana na Mzee Mengi face to face mahakamani, huku wananchi tukimsubiri kwa hamu kubwa sana huyu genius!

  Kweli saa ya ukombozi imekaribia sana kama haijafika tayari, naona wengine tutaishia kuwaacha Kempiski, Bwa! ha! ha!

  Respect!

  FMES!
   
 6. S

  S. S. Phares JF-Expert Member

  #6
  May 7, 2009
  Joined: Nov 27, 2006
  Messages: 2,141
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  Prince William,

  Karibu jamvini Mkuu. Hapa kumkoma giladi kwa kwenda mbele...tunajua RA amechukua hela zetu...inatia moyo wazalendo kama wewe mkija na data kutufahamisha ukweli hapa.


  Damn, RA kweli ni Fisadi Papa...aliwafisadi CCM pia..
   
 7. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #7
  May 7, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145

  mkuu,
  rostam ALIBOMOA BENKI(BOT)?,au alikula na wazawa?waliokuwa madarakani?

  kuna mtu hapa katikati MZAWA/ambae umempigia kura.ndo anaerubuniwa na huyu mu-iran.

  TELL ME,WHO IS TO BLAME?
   
 8. kinepi_nepi

  kinepi_nepi JF-Expert Member

  #8
  May 7, 2009
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 870
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Naomba kabla hujafa post entire script ya balali.
   
 9. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #9
  May 7, 2009
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Kadushik,

  Wee kweli mwenyeji wa Tabora na kumbukumbu nzuri sana. Hayo majina kweli nimechoka. Nilikuwa nafikiri HINDOCHA ni jina la jengo/sehemu. Akina Bachu siyo???

  Ni kweli hilo jina sijawahi lisikia. Huku kwetu Sikonge tuna akina Hemed Nasor(SABENA), mdogo wake(Tumbotumbo), Koronzo na ndugu zake pale Tutuo akina Kibubunswa (Kichuguu-he never move), Seif Hamdani nk
   
 10. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #10
  May 7, 2009
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,922
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Kwi..kwi...kwi.. tehe tehe tehe.....

  that was a good one.
   
 11. M

  Manundu Member

  #11
  May 7, 2009
  Joined: Apr 7, 2008
  Messages: 89
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Mhh!!!!!!!!!!!
   
 12. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #12
  May 7, 2009
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Tukisema hivyo, ina maana yeye si MTANZANIA.

  Jikumbushe Alberto Fujimori wa Peru. Aliboronga weee na siku mambo yalipomuwakia akasema hamnipati ng'ooo na akaingia zake mitini JAPAN. Japan na ugumu wao wa kutoa uraia, wakampokea kwa kusema "welcome home son". Peru hadi leo wanalialia na hawawezi kumpata.

  Ndiyo madhara ya watu wenye uraia wa nchi mbili kuwa wana siasa.
   
 13. F

  Fundi Mchundo JF-Expert Member

  #13
  May 7, 2009
  Joined: Nov 9, 2007
  Messages: 4,706
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Alberto Fujimori alirudishwa Peru kutoka Chile, mwezi Septemba 2007. Tarehe 17 Aprili 2009 amehukumiwa kifungo cha miaka 25.

  Hao unaosema wanalia lia wako wapi?

  Msitake kupindisha habari kutetea hoja dhaifu!

  Amandla......
   
 14. Gottee

  Gottee Senior Member

  #14
  May 7, 2009
  Joined: Sep 7, 2008
  Messages: 174
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mkuu Kadushik sijui kama umeacha kwa kukusudia, ungeitaja kampuni ya Malori ya KASERKANDIS basi na ungejua biashara za wazazi (familia) wa/ya RA
   
 15. MpigaFilimbi

  MpigaFilimbi JF-Expert Member

  #15
  May 7, 2009
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,171
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 133
  • Prince William, tunasubiri mabandiko zaidi, ili mambo yawe wazi zaidi, huenda RA akaamua kuitisha press conference na kusema alishauriwa vibaya, na atarudisha vyote alivyofisadi na interest yake kabla mambo hayajawa magumu kwake.
   
 16. Scientist

  Scientist JF-Expert Member

  #16
  May 7, 2009
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Prince William, Heshima mbele mkuu. Endelea kutundika hapa tumuweke wazi RA na vikaragosi vyake!
   
 17. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #17
  May 7, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Kuna watu wawili ambao wamejaribu kunipa taarifa ya asili ya Rostam... wote wawili walipobanwa juu ya some specifics hakuna aliyerudi.... Rostam atakuwa na nguvu as long as kwamba kuna watu wanafurahia fedha yake.. once these people wataona hela yake ni ya muda atageukwa na siri yake ambayo inajulikana hadi TISS itafunuliwa.. hapo ndipo watakapojua watu he has been the biggest con artist to enter the Tanzania political stage...
   
 18. Scientist

  Scientist JF-Expert Member

  #18
  May 7, 2009
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nani kakwambia alizaliwa TABORA, unaushahidi?!
   
 19. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #19
  May 7, 2009
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,844
  Likes Received: 1,110
  Trophy Points: 280
  yaah, but when?
   
 20. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #20
  May 7, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Nziku.. don't worry kinachoendelea sasa hivi is the unraveling of Rostam... subirini tu... akikimbia nchi msishtuke.. I wrote here a while ago.. tatizo ni kuwa watu hapa hawaunganishi habari.. we still see things in parts.. alichosema PW kilidokezwa hapa na mambo mengine kedekede.. (hata Mtikila alishakisema)..

  Nyie subirini tu.. kuna mtu aliuliza RA aliomba uraia lini.. (tatizo siyo yeye kuwa muiran kwani Watanzania wengi tu wenye asili ya nchi mbalimbali nchini na waliomba uraia)..
   
Loading...